Recent content by matron

  1. matron

    JamiiForums Tanzania DAWASCO/TANROAD na Kimara Bunyokwa jipu hili hadi lini?

    Ni miaka na miaka inazidi kukatika tangu rais mstaafu Jakaya Kikwete (JK) aje kwenye kitongoji changu na kutuahidi kutuletea maji na kutuwekea lami kwenye barabara yetu ambayo haifiki hata km 5. Sasa najiuliza hawa watendaji husika DAWASCO na TANRODS ni kweli katika bajet zenu kweli...
  2. matron

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

    Tunasubiri kujuzwa vigezo vya huyo mwekezaji..
  3. matron

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kidogo, Uchawi una nafasi gani katika biashara

    Wengi wanadai kuwa waganga wanaweza kutambika sehemu ya biashara yako na kuifanya upate wateja mimi siko simo huko......nakuja kwa upande wako je hiyo sehemu unayotaka kuzama kibiashara umeshajiuliza ni wachawi wangapi wametoka hapo?hapa namaanisha wafanyabiashara waliowahi kuleta waganga...
  4. matron

    JamiiForums Tanzania Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    Safi sana raisi JPM kwa mabadiliko hayo..kilichonigusa zaidi ni kule NSSF paliharibika mnoo,ubaguzi ulikua wa waziwazi kiasi cha kushindwa kuelewa chanzo ni nini hasa lakini kweli hakuna marefu yasiyo na ncha,naamini wale waliokuwa wanabebwa kwa swala la udini saa hizi wanalia! poleni ila...
  5. matron

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Hivi haiwezekani kuchkua hiyo mbegu na kuileta huku Dar?
  6. matron

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 yakujua kabla ya kuingia kwenye huu mfumo wa biashara unaolipa kuliko mifumo yote

    yah tangazo lako,unapatikana mkoa gani?
  7. matron

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 yakujua kabla ya kuingia kwenye huu mfumo wa biashara unaolipa kuliko mifumo yote

    Nimekusoma mkuu,mimi nataka kujua wewe unauza product gani?kwani haiwezekani mimi kununua kwa matumizi binafsi?
  8. matron

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye ndoa yangu naomba msaada

    Binti mmoja:Ukiwa kama mama wa familia ni lazima uwe mtu wa kuomba..na kama unadumu kwenye maombi haya yatapita ,kumbuka huna mamlaka na huo mwili kwakuwa uliunganishwa siku ya ndoa. Wengi wanakushauri umnyime unyumba nk kumbuka shetani aliyemuingiz mumeo anataka kukuangusha ili...
  9. matron

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania namwachia house girl nyumba nimechoka

    waowaji wenyewe siku hizi wako wapi?sema ukweli kuna mengine hili halinitoshi loly
  10. matron

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania That painful feeling of Loving where you are not Loved!!!

    Vanilla are u ok my dear?is there anything happen to you?
  11. matron

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “UPOLE “ na “ KUOMBA”….dhana tata zilizo katika utamaduni wa mtanzania…..

    Mimi sijaona ukweli kabisaaa kuhusu wadada wa kTz maana kuna wakati nilikua Kenya mbona na wao walichukuliwa sana tuu na wabongo?tena wengine wameolewa kabisa. ingawa wengi wao wako rude . Hapo huyo jamaa zako wenyewe wakware niseme bilabila - Mtz ni maadil tu hayahusiki na kujirahisi kwa mtu...
  12. matron

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “UPOLE “ na “ KUOMBA”….dhana tata zilizo katika utamaduni wa mtanzania…..

    Mimi sijaona ukweli kabisaaa kuhusu wadada wa kTz maana kuna wakati nilikua Kenya mbona na wao walichukuliwa sana tuu na wabongo?tena wengine wameolewa kabisa. ingawa wengi wao wako rude .Mtz ni maadil tu hayahusiki na kujirahisi kwa mtu binafsi lol.
  13. matron

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unapofiwa na mzazi/ mkwe inashauriwa kuomboleza siku ngapi?

    Na nikikwambia niliskia watu wakinong'ona? ntakua bado nimechunguza?
  14. matron

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unapofiwa na mzazi/ mkwe inashauriwa kuomboleza siku ngapi?

    Umeona eehee...
  15. matron

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unapofiwa na mzazi/ mkwe inashauriwa kuomboleza siku ngapi?

    sawa Smile nimekupata na kweli sina cha kuwafanya
Back
Top Bottom