matron
Member
- Nov 16, 2011
- 66
- 57
Ni miaka na miaka inazidi kukatika tangu rais mstaafu Jakaya Kikwete (JK) aje kwenye kitongoji changu na kutuahidi kutuletea maji na kutuwekea lami kwenye barabara yetu ambayo haifiki hata km 5.
Sasa najiuliza hawa watendaji husika DAWASCO na TANRODS ni kweli katika bajet zenu kweli hamkutengewa pesa hadi leo au ni majipu mengine haya?Kuhusu maji tunapata shida sisi wananchi wa kawaida kunua ndoo moja ya ltr 20 kwa sh 500, ltr 1000 kwa sh 15,000/= wakati wenzetu ambao wana maji ya DAWASCO hi bei tunayouziwa kwa ltr 1000 inawezekana ni bill ya mwezi.
Wakati huo huo mvua ikinyesha hatunaga pa kupita ni mawazo wenye bajaji wanapandisha nauli, hali hii hadi lini? Kwakweli tunateseka mno, kwa gharama hizi na inafanya maisha yawe juu sana, tatizo ni nini?
Najiuliza kwanini jipu lenu halionekani na nyie mko karibu na JPM?
Nawasilisha