Recent content by Mathenge

  1. Mathenge

    JamiiForums Tanzania Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

    Mimi nitawaletea Picha za mandhari nzuri ya Mbamba bay (Nyasa) pamoja na fukwe zake na mito na safu za milima .
  2. Mathenge

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

    Naomba kujua mkuu zinapatikana wapi.
  3. Mathenge

    JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Mkuu ,shukran umenisaidia sana kujua nami chimbo hizo,pamoja sana
  4. Mathenge

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

    Mkuu! nimekubali kazi yako ,nikiwa tayari tutayajenga
  5. Mathenge

    JamiiForums Tanzania Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'

    Wataalamu wa uchambuzi wa vita hii mko vizuri,tumejua sababu za vita,na kiini chake kuwani 1990,Nawapongeza wote.
  6. Mathenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania GB WhatsApp vs FM WhatsApp

    Bro hiyo hapo juu link fungua utaipata mkuu
  7. Mathenge

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

    Hii kesi ni ya,kihistoria na itabaki kama kumbukumbu kwa vizaz vinavokuja.
  8. Mathenge

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    Mkuu habari vip miche ya Ndimu inapatikana ? Embe dodo ya kienyeji?
  9. Mathenge

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    Ukisoma hii post ya Ben unaeza ona kama hadithi ,Kumbe inajumbe mzito wa kuwaaga Ndugu ,rafiki na jamaa zake .Mungu ni mwema kweli na kila goti litapigwa kwakwe siku ya hukumu ya mateso yako .
  10. Mathenge

    JamiiForums Tanzania Isidingo la Gesi: Tuijue gharama ya Ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kuja Dar es salaam

    Mkuu nimekuelewa vizuri sana kwenye hoja yako ambayo ina maslahi makubwa na uchumi wa Taifa letuu, Umeongeaa kitaalamu sana lakini najua watakuja na siasa kwenye hoja yako mkuu,Wazo na ushauri mzuri sana kwa Serikali yetu.
  11. Mathenge

    JamiiForums Tanzania Msaada: Paji la uso kucheza

    Bro mpk ninapoandika msg hii nina mwezi na nusu jicho la kulia chini linacheza Balaa, lakini ya walimwengu sijaona ht moja, Kuna mkuu hapo juu kasema ni tissue namini hivoo tu, yaani ilifikia niende Hospital maana nilihis sasa hiki nini tena.
  12. Mathenge

    JamiiForums Tanzania Nilichekwa sana Style yangu ya malezi ila leo hii watu wanatamani kuniiga

    Mkuu bila shaka unatokea DODOMA mpk SADA unazijua ahahaha ,basi haya NGWELU ,NGUKWE , MPELEMEHE piaa ahahaha ,akajifunze na kuwinda MBAWALA,FUNO na HARUZI ,bila kusahau kusenya KUNI ,mkuu nimecheza sna porini kuwinda Maeneo.ya Mpwapwa huko .Pamoja sana.
  13. Mathenge

    JamiiForums Tanzania Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa

    Mh aisee kuna,watu vichwa huwa vinachemka na kufikiria mambo makubwa,Mkuu umefikiria nini kuanzisha mada hii aisee? Inagonganisha ufahamu ujue ahahaa
  14. Mathenge

    JamiiForums Tanzania Ni wapi pa uhakika unazoweza kuagiza vitu used (electronics) za USA, UK na Dubai

    Hongera mleta uzi umesababisha nami niufuatilie,
  15. Mathenge

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    Mkuu nitakutafuta nahitaji sana miche hiyo nipo Mwanza ,nitakutafuta kwa namba zako hapo,Muda mwema mkuu
Back
Top Bottom