Recent content by Mathematician

  1. Mathematician

    Kiwanja kinauzwa (Lingato Kigamboni Dar es Salaam)

    Ninauza kiwanja cha sqm 4400 - 5000 kiko Lingato ambayo iko wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam mpakani na Lugwadu ambayo iko Mkuranga Pwani. Ni maeneo jirani na kwa Pinda Kigamboni. Bei maelewano nicheki 0783677210
  2. Mathematician

    Top 4 brands za karatasi

    Habari zenu wadau wa jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali. Naomba kujua top brands za karatasi zinazotumika na kukubalika sana hapa za Tanzania. Nikisema brands namaanisha hizi Rotatrim, HP, Paperline, Golden Start, Double A etc.
  3. Mathematician

    Piga Kura: Uhitaji wa Online Payment API Rahisi

    Tupo kwenye boti moja wangu. Nilitaka kufundisha online kupitia udemy but no help. Inauma sana.
  4. Mathematician

    ADVANCED MICROSOFT EXCEL TRAINING COURSE

    Looks interesting.
  5. Mathematician

    Nifanyaje nipate leseni ya biashara?

    nenda kwenye halmashauri husika. Mfano kama unaishi mbagala DSM ungeenda pale Halmashauri ya Manispaa ya Temeke karibu na national stadium. Nenda kawaone ni jambo la siku moja tu ukiwa na documents wanazohitaji. maximum ndani ya siku tatu unapata leseni..
  6. Mathematician

    Halotel ni kiboko kwa internet speed

    Niko Iringa tena sehemu ina mwinuko tigo inazingua kinoma kudownload. Ninatumia modem ya 4G na huku hakuna 4G kuna 3G sa sijui ndio sababu. Lakini modem za 4G ninachofahamu ukienda sehemu ambazo hazina 4G ina-default to 3G. Hii speed hata ingekuwepo "0.5G" isingefika. Yaani kama sio sheria za...
  7. Mathematician

    Nimekataa kumpongeza Mrisho Gambo

    Kukiwasilisha?
  8. Mathematician

    Fundi wa Computer ( Hardware & Software)

    nina laptop lenovo thinkpad x220 kwenye keyboard key "N" imebanduka unaweza ukanitafutia hiyo "N" na ukaniwekea? Inanikera sana hasa ukizingatia "N" inatumika sana..
  9. Mathematician

    Jinsi biashara za kufuata mkumbo na upepo zinavyoathiri watu

    True 100%. Kware wako wapi jamani! Vipi mitiki!!??? Lazima tuwe makini na hasa suala la masoko kabla ya kufanya jambo lina umuhimu mkubwa.
  10. Mathematician

    Kuagiza Mzigo Nje Ya Nchi

    nenda China. Si unasikia wenzako wanaenda au mpaka usumkumwe? Unaulizwa swali linafahamika majibu yake
  11. Mathematician

    Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

    hayo maeneo yanajulikana hata wewe unayajua. Ukiona mtaa una bodaboda nyingi si ndio hapo unapopahitaji!!! Maswali mengi namna hiyo mwishowe ukishaambiwa utaanza kuuliza faida ikoje. Ingia kwenye business take risk. Kama mtaji unao jitose na mtegemee mwenyezi mungu. Watu wanashindwa sana kuelewa...
  12. Mathematician

    Viwanja Kigamboni karibu na Lugwadu

    Ni mbali sijui umbali wa KM ngapi. Ni Lugwadu. Unapitia mwembe mtengu kama unakujua. Ni plots nzuri sana. Hiyo hela yaani ni karibu na bure...
Back
Top Bottom