Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,610
Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya kukosekana kwa API bora ya malipo Tanzania.
Piga kura yako hapa na uache maelezo ambayo ungependa mamlaka husika zifanyie kazi.
Pamoja nu kuelezea mambo yanayokosekana katika malipo online (ugumu na masumbufu yake) jaza kura hapo juu na utuambie unalipwaje kwa sasa. Na kama project yako imeshidwa ku launch kwa sababu hiyo basi utoe maelezo kidogo (usiweke idea yako tafadhali isije kuibiwa)
NB: usiishie kulalamika. Weka Maoni/Matatizo yako yafanyiwe kazi. Na kwa wale ambao hawaelewi kinachoendelea tafadhali soma kimya kimya tu. Huu ni uzi muhimu sana kwa maendeleo ya nchi.