Kuagiza Mzigo Nje Ya Nchi

Desteo

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
494
123
Salama Wakuu. Nahitaji Kupata Taarifa Za Unafuu. Ubora Na Sehem Au Nchi/jimbo Ambalo Naweza Kwenda Na Kununua Vifaa Vya Hardware Ikiwa Ni Pamoja Na Vifaa Vya Umeme. Natumai Wale Wadau Wa Ujenzi Na Hardware Watakuwa Wamenisoma Ni Vifaa/bidhaa Zipi Hasa, Natanguliza Shukrani
 
nenda China. Si unasikia wenzako wanaenda au mpaka usumkumwe? Unaulizwa swali linafahamika majibu yake
 
Kweli we jamaa ni tatizo. Unadhani China ni Kariakoo? Una tatizo la kutokuwa na exposure, hata ya hapa TZ
 
Back
Top Bottom