Baraka Rabson
Member
- Sep 9, 2014
- 64
- 16
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk.
nina laptop lenovo thinkpad x220 kwenye keyboard key "N" imebanduka unaweza ukanitafutia hiyo "N" na ukaniwekea? Inanikera sana hasa ukizingatia "N" inatumika sana..Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa msimbazi..kwa mawasiliano piga Simu No.0676040772
je hiyo pc yako ni model gani.. funguka nikupe msaada wa harakaPc yangu kioo kimezima ghafla ila ukiwasha unasikia kabisa feni inazunguka Nini tatizo
HP 630je hiyo pc yako ni model gani.. funguka nikupe msaada wa haraka