mkachu
Senior Member
- Dec 20, 2012
- 136
- 42
Moja ya mambo yanayo tu cost wabongo ni swala la kufuata uepepo nikiwemo na mimi mwenywe, tunaangalia upepo unavumaje kwa sasa, tunaendesha project kwa kufuata upepo ulivyo.
KINACHO TUSUKUMA SANA NI HIKI
- Nimesikia inalipa
-Nimeambiwa inalipa
- Nimeona
- Jirani anafanya na inalipa
-Mbona kwa fulani anafanya
- Tumeshauriwa
-Tumehamasishwa
-Tumeaahidiwa
Pls achana kabisa na hizo story za hapo juu, kwa lolote lile fanya utafiti wako binafisi, google, na tafuta taarifa kokote kule zinako patikana na ikibidi jiongeze mwenyewe.
Watu wamekuwa wahanga wa kufauta story za aina hiyo hapo juu, watu tunafuata upepo/mkumbo.
Zikowapi story za
- Kware? na sasa story za sungura ndo ziko juu ndo story za nimesikia na kuambia.
Unataka kufuga kuku, mbuzi, sungura, kware, kondoo, bata chochote kile, fanya utafiti wako mwenywe.
Kuna watu hadi wamejinyonga kwa story za hapo juu, watu wanasikia na kuona na kuambiwa na wanakimbilia kwenda kukopa na kuingiza pesa zote kwenye kuanzisha kitu ambacho mwisho wa siku kinakuja kumcost.
Tunakosa focus hivyo tunabakia kufuata upepo ulivyo.