Recent content by mateytey

  1. M

    JamiiForums Tanzania Meya wa Ilala unajivunia nini kwenye uongozi wako?

    Sioni alichofanya huyu zoba maana hat kwenye kata yake anayotoka ya Ukonga hadi Gmboto hakuna kitu angalia barabara ya Gmboto kwenda Pugu Mnadani ambapo ndipo anapotoka kwao kabisa pale Pugu Hills hakuna kitu alichofanya sioni tofauti ya kipindi chake na kipindi cha Diwani aliyepita Mzee Marwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Jerry Slaa huyuhuyu aliyetaka kwenda kupokonya machine Hospitali Guluka kwalaa kwa sababu wamemchagua mgombea wa Chadema katika uchaguzi wa serikali ya Mtaa wa Mikongeni ndo anafaa Urais?huyuhuyu aliyekuwa anatembea na kabinti ka Kisarawe Seminari ndo anafaa Urais?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jerri Silaa: Hakuna wa Kumzuia Membe 2015

    Nimependa comment za Tukundane kinachoendelea sasa ndani ya chama cha Mapinduzi ni kila mwamba ngoma ngozi kuvutia kwake hitimisho ya hichi ni kukipasua chama chao wenyewe,kama alivyoonya Makongoro Nyerere, hii ni fursa nzuri kwa vyama vya ushindani kuzidi kukaza uzi na kushirikiana kwa dhati...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Son of Ex-Minister Malima in historic medical discovery

    Ana heshima yake kwa haya aliyoyafanya anastahili kutiwa moyo na kuendelezwa sio kushutumiwa bila kujali Dini yake wala kabila lake wala alipozaliwa ni mtanzania mwenzetu heshima kwa nchi yetu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Yaliyojiri Kigoma katika mazishi ya Shida Salum (Mama yake Zitto)

    Poleni sana kwa msiba huu mzito Kazi ya Muumba haina makosa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete umefanya kosa la kiufundi,next time you are the target for resignation

    Kilichonishtua na kunishangaza na sasa nakaribia kuamini kuwa labda alichosema Mh Mnyika ni kweli ni huu uteuzi wa huyu ndugu yangu mbunge wa Kondoa,huyu ambaye usiku kucha yupo "Double H" Dodoma anakula kuku wa kuchoma na visichana vidogo vya shule leo anaonekana anafaa kuwemo kwenye vikao vya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama kuu yaahirisha kutoa uamuzi dhidi ya Zitto

    Naombeni mnijuze kilichojiri mahakamani leo ktk Kesi ya Zitto Vs Chadema mahakama imeamuaje waugwana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Chadema Arusha yatangaza form za kugombea nafasi ya udiwani kata ya Sombetini

    Namuunga mkono Mawazo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

    Tumuunge mkono tumsaidie akiboronga ndio tumfundishe na kumpinga tumpe nafasi kwanza.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Mwigamba watwangana ngumi Arusha

    Cdm ni wakati wa kuimarisha chama acheni watu wa porojo waropoke msibishane nao nyinyi imarisheni chama tayari kwa kuingia ikulu 2015.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Shukrani za Jamal Emil Malinzi kwa wana JF

    Tunataka maendeleo ya mpira sio porojoporojo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Limbu: Ikulu Inanuka Rushwa Balaa!

    Tujisahihishe!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msishangae kusikia mabadiliko Baraza la Mawaziri kisa Dr. Mwakyembe!

    Rais Goigoi hutengeneza serikali goigoi na huwa na maamuzi goigoi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Mungu tunakushukuru, Arusha asanteni sana

    Aluta continua Makamanda bado tuna safari tukaze buti ukombozi umekaribia kwa nchi nzima.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu waipinga CHADEMA...

    Huyu ni mmoja wa maaskofu dhaifu waliopata kutokea nchini hatutaki kuwasema watumishi hawa lkn maadamu kaja acha imnyeshee ajifunze, uchaguzi uliomwingiza madarakani katika Dayosisi ya Dodoma ulileta manunguniko kutokana na uwezo wake kuwa mdogo kulinganisha na washindani wake haswa Mchungaji...
Back
Top Bottom