Jerri Silaa: Hakuna wa Kumzuia Membe 2015

Jerri Silaa: Hakuna wa Kumzuia Membe 2015

Mkuu Jamaa Bwabwa, anafaa Kupuuzwa si Unajua tena Bwabwa, naona anatafuta Jamaa wa kum Boost.
 
Yani Membe awe rais?? Hata akisimamishwa na jiwe, jiwe linashinda.
 
Kama kawaida team Membe at work. Meya wa Ilala, baada ya kupiga tungi hanaga mipaka ya kuongea. Jana jioni maeneo ya Seacliff, jamaa alianza kubwabwaja, kwamba EL hana lolote akiendelea kutumia watu kama Makongoro Mahanga. Jerri anaamini, kwamba hakuna wa kumzuia Bernard Membe kuchukua dola 2015.

Mwambie na SISI WANANCHI hakuna wa kutuzuia kumpeleka yeye mahakamani kwa ufisadi anaofanya. Mwambie angojee JK amalize muda wake ndio atajua mbivu na mbichi!
 
Nimependa comment za Tukundane kinachoendelea sasa ndani ya chama cha Mapinduzi ni kila mwamba ngoma ngozi kuvutia kwake hitimisho ya hichi ni kukipasua chama chao wenyewe,kama alivyoonya Makongoro Nyerere, hii ni fursa nzuri kwa vyama vya ushindani kuzidi kukaza uzi na kushirikiana kwa dhati ili kuweza kuleta mfumo mbadala katika Taifa letu.
 
Membe ameiba tu-milioni tuchache jamani! Yeye anasainisha Mabalozi tu! Yeye anapokea mi-hela inatoka kwa nchi kama Egypt, DRC, na watu kama Aga Khan. Ushahidi atauona mwaka ujao.
 
Nani alijua kama Mwinyi au Mkapa enzi hizo wangepata urais. Angalau Kikwete alikuwa anasemwasemwa. Sasa Membe huwezi kujua bwana hata Obama alitarajiwa kugombea mwaka 2017 lakini kaukwaa mapema zaidi.
 
Mtoa mada hii analake jambo..jerry silaa kwanza hanywi pombe,huu ni unafiki kabisaa,siasa za maji taka,by the way mtake msitake Rais ajae nchi ni Pinda. . Na maneno haya ntawakumbusha muda ukifika....wait and see...the only clean and smart among all of them..!!
 
Wengine wanasema hakuna wa kumzuia Lowasa,wengine wanasema hakuna wa kumzuia January,wengine wanasema hakuna wa kumzuia Wasira,wengine wanasema hakuna wa kumzuia Mwigulu,wengine wanasema hakuna wakumzuia Sitta,wengine wanasema hakuna wa kumzuia Tibaijuka,wengine wanasema hakuna wa kumzuia Kigwangwala.CCM wamebaki na siasa za wawamba ngoma,mwisho watakipasua chama kwa mikono yao wenyewe.

Mkuu ninachokiona machoni mwangu mbeleni ni kwamba hizi teams zitakipasua chama vibaya sana.Mpaka sasa kila mtu anaibuka na kujitangaza kugombea urais, saivi hawajali warnings za chama ni kampeni kwenda mbele. Me sometimes najiuliza hawaoni kuwa wanapalilia njia za upinzani kuelekea uchaguzi mkuu? Yaani wameshahasau ya katiba mpya issue saiv ni uraisi tu.Kwa hili upinzani wajiandae kung'ara.
 
JF ina some poor thinkers: badala ya kujadiri hoja sasa inajadiriwa ndoa ya mtoa hoja. Watu wa mwizi mgonjwa ebu rekebisheni tabia za ajabu. Tujadiri hoja kwamba hakuna wa kumzuia Membe kama ambavyo tungejadiri kwamba hakuna wa kumzuia mwizi mgonjwa aka mamvi. Ushabiki mzuri na wakweli unatambua uwepo wa upande unaokizana na wenye uwezo wa kushinda. Tubadirike, leteni hoja za kambi zote mbili msaidie wapiga kura.

Does this makes u any better?na wew kwanini unajadili afya badala ya hoja?
 
Usiombe katika maisha yako mwanamke akuache lazima uchizi, ndio kinachomkuta jamaa saizi..yani hata barabarani anaongea mwenyewe kisa kupigwa chiiiiiiiiiiini na mwanamke (mke wa ndoa) inasemekana ili apige mzigo lazima abustiwe kwanza ndio kisa cha mwanamke kukimbia na kutafuta wanaume lijali....Na juzi juzi kapigwa chini tena na mtoto wa Bulembo kisa anashindwa kuperform kwa mara nyingine yaaani jamaa kadata ile mbayaaaaaaa...Maskini Jerry poleeeeeeeeee

ama hakika. Raha sana duniani hapa. Ukitaka kudhalilika ingia kwenye siasa. Akisema hii post yako atajisikiaje?
 
Labda huko ccm hakuna wa kumwzuia. Nje ya ccm kuna ukawa babaakee
 
Usiombe katika maisha yako mwanamke akuache lazima uchizi, ndio kinachomkuta jamaa saizi..yani hata barabarani anaongea mwenyewe kisa kupigwa chiiiiiiiiiiini na mwanamke (mke wa ndoa) inasemekana ili apige mzigo lazima abustiwe kwanza ndio kisa cha mwanamke kukimbia na kutafuta wanaume lijali....Na juzi juzi kapigwa chini tena na mtoto wa Bulembo kisa anashindwa kuperform kwa mara nyingine yaaani jamaa kadata ile mbayaaaaaaa...Maskini Jerry poleeeeeeeeee

Jamani umeyajuaje?
 
Manywele ashamsimamisha membe kabla hajaanza. Jerry kalewa huyu. Mama salma amemlea mno
 
Back
Top Bottom