MimI nImesoma chuo cha mwalimu nyerere memorial academy course ya ordinary diploma in primary school,na nina gpa at least 4.5. Je, ninaweza kusoma degree ambayo haihusiani na education, kama ni hivyo mfano hizo kozi ni zipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia ya kurudisha ipo, ila inabidi u download Stella recovery software,au tafta recovery programmes online
Binafsi. Mim ninayo moja inayorudisha mafile.niliwahi kuitumia kurecover folders and file from my external Hdd
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.