Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,735
Tulianzisha group lingine la telegram, WhatsApp tuliachana nayo Kama unatumia telegram nitakupa link ujiunge
Nipe link ya telegram
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tulianzisha group lingine la telegram, WhatsApp tuliachana nayo Kama unatumia telegram nitakupa link ujiunge
Daah kazi ya ndoto zangu mechanical I'm coming ngoja nmalzane na pcm nw
thank broPiga shule sana.. you will
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bado hajapata mkuu, msaidie kijana.
Mkuu kama unaweza saidia vijana, naomba uwasaidie kiukweli kada ya uhandisi imekuwa ngumu sana kwa sasa mtu kupata ajira tofauti na namna watu wengi wanavyofikiri.
Kiukweli kiongozi nakuombea uendelee na moyo wakusaidia, hata kama unaemsaidia asipothamini mchango wako lakini wasaidie vijana Mwenyezimungu siku moja atalipa wema wako.
Hakika mkuu ubarikiwe.
UnamaAnsha watu hawawez kupata GPA ya 4 ktk mechanical engineeringGPA ya 4 unafikiri ni degree ya tourism au human resources.
Kwa elimu ya kibongobongo GPA ya 4 upande wa engineering ni inshu brother inatakiwa upige shule kisawasawa,usiwe na mambo mengi na kichwani uwe smart. Nakuambia hivyo iyo elimu naijua vizuri nimesoma diploma na digree za electrical engineering.Unam
UnamaAnsha watu hawawez kupata GPA ya 4 ktk mechanical engineering
Ww GPA Ndogo haimanishi hujui why and Huna theory, na haimanishi mtu ambaye ana GPA kubwa knows why on designSasa utachoraje kama hujui theory? utachora nini kama hujui ku design?
Mkuu tofauti kati ya MHANDISI na FUNDI MCHUNDO (Technician) ni hii...
-Mhandisi anajua "why" fundimchundo anajua "how"!
-Mhandisi ana analytical skills na fundi mchundo yeye anajua kuunda!
Simaanishi MHANDISI asijue kuunda NO! Namaanisha huwezi kuwa MHANDISI kama hujui "theory behand" kama huna "analytical skills", kama hujui theory ("why") wewe sio MHANDISI wewe ni TECHNICIAN!
Mfano kwa mechanical engineer, ukiambiwa shaft iwe na 100mm Dia. basi uwe na sababu pamoja references za kwanini hiyo shaft imekua 100mm Dia. na sio 80mm Dia.!
Au kwa civil engineer anaposema hapa tuweke nondo za 10mm basi lazima awe na sababu na sio anakisia tu!
Na hii huwezi kujua kama huna "theory" kichwani!
Design (Theory na analytical skills) ndio inamtofautisha MHANDISI na FUNDI MCHUNDO!
Umeelewa sasa?
Duh sijui hata kama unaelewa ulichoandika.Ww GPA Ndogo haimanishi hujui why and Huna theory, na haimanishi mtu ambaye ana GPA kubwa knows why on design
Sent using Jamii Forums mobile app