Recent content by matenene

  1. M

    Diamond ashinda tuzo ya best male africa tuzo za Sound city MVP, awakalisha Davido na Wizkid

    Mjukuu ukitaja huo mji babu yenu roho inatikisika. Elezea kwa undani juu ya hilo ili watu wasiwe na hisia hasi.
  2. M

    CCM yashinda Ubunge majimbo ya Songea Mjini na Singida Kaskazini

    Nyalandu alikuwa busy kuhangaikia vitalu vyake.
  3. M

    Dr Vicent Mashinji: CCM huwa wanatuchakachua, ushahidi huu hapa

    Hoja dhaifu, wengi hawakupiga kura kwakuwa waliamini mgombea wa CCM atapita tu kutokana na mapenzi yao. Wakawaachia wenzao wapige kura tu, wao wamebaki nyumbani. Hali hii hujitokeza sana katika chaguzi nyingi za marudio.
  4. M

    Siku 3 kabla ya ndoa nimemuonesha ma-ex totozi wangu kama 10 hivi.

    Mjukuu umenifedhehesha sana kwa uzi huu.
  5. M

    Diamond afungiwe au afukuzwe nchi

    Kijana kwa hiyo roho ya Dada yenu wa Marekani pepo uisome kwenye vitabu tu hapa duniani. Nakushauri umrejee Mungu haraka akupe uponyaji na kuitakasa roho yako ambayo imejaa pepo wachafu.
  6. M

    Muujiza wa Tundu Lissu

    Amekuja kufanya recap ya story zote zilizopita. Sijaona kipya daktari wa mtandaoni.
  7. M

    Azam FC mabingwa wa Kombe la Mapinduzi 2018 waifunga URA kwa penalti 4-3

    Kipa Razak wa Azam ni hodari sana. Nimeamini kuwa kipa wa Yanga bonge la shati, amejaa golini magoli yanapita tu. U.R.A kuna Chirwa kibao, lakini Rostand kashindwa kuwa msaada.
  8. M

    Lazaro Nyalandu Amepotea? Alitegemea nini kuwa mpinzani?

    Kuna haja ya kumchunguza Mwenyechama kuhusu Nyalandu. Aliamua kususia, ukimuangalia kwa mbali kama Mwenyechama amenufaika katika maamuzi ya kususia. Achunguzwe tu, hakika mtabaini Ninachokizungumzia. Nyalandu amekereka lakini hakuwa na jinsi.
  9. M

    Tafuteni Jina lingine KIBAMIA linakera mno.

    Wajukuu msiume sana, hayo ni maumbile kama alivyo mrefu na mfupi. Ukipata size yako maisha yanakwenda tu. Miaka ya nyuma haikuwa hoja kwa sababu wanawake walikuwa hawaonji wanaume wengi sana. Siku hizi wadada wanaanza na umri mdogo primary school mabwana watatu, sekondari mabwana 4 au zaidi...
  10. M

    Utupu wa William Malecela: Je, tunaweza kuwaza tofauti?

    Dawa kuacha kudate na vitoto.
  11. M

    Lowassa aweke hadharani yote waliyoyazungumza Ikulu

    Lowassa hana sababu ya kueleza kile alichozungumza na Rais. Huyo shujaa wa siasa, tayari ameshamwita Mwenyekiti ofisini kwake Mikocheni na kumpa maelekezo. Baada ya Mwenyekiti kuondoka Bw. Lyongo akapewa maelekezo ya kukanusha. Hutomsikia tena Mwenyekiti akilizungumzia jambo hilo kwa sura hasi.
  12. M

    Serikali yamfungia Msanii kwa kuweka picha ya utupu Mtandaoni, na BASATA yawataka watayarishaji wa Muziki wajisajili

    Msanii mchanga anayetafuta kiki kwa nguvu anayekwenda kwa jina na Pretty Kind amefungiwa kujishughulisha na shughuli za muziki kwa muda wa miezi sita (6). Kauli ya kufungiwa kwake imetolewa na Naibu Waziri mwenye dhamana na Sanaa Mhe. Juliana Shonza. Msanii mwingine Gigy Money naye ametajwa na...
  13. M

    Kadinda atoa wanawake udenda

    Upo sahihi, huyo ndo lukelo sakafu si unaona hoja zake anazotumwa na Wena.
  14. M

    Ningekuwa Ally Kiba

    Acha kutoa ushauri mzuri kwa hilo zoba. Hawezi kuondoa mgt yake, yupo chini ya Ruge na clouds media huo msukule
  15. M

    Kiba mashabiki wako wanatia huruma sana, embu sikiliza vilio vyao

    Diva biyonce, mpendwa nifah tayari huku ng'ambaku kaharibu hali ya hewa. Njooni haraka
Back
Top Bottom