Ningekuwa Ally Kiba

Ningekuwa Ally Kiba

Yaaap! samahani lakini!:bila shaka tunaenda sawa:
lait kama ningelikuwa ALLY KIBA "ninge"
# ningeua nyani huku namuangalia usoni, yani ningevunjavunja uongozi wangu wote na kuunda safu mpya au kufanya kazi mwenyewe.
muundo wa uongozi
-afisa masoko
-time manager
-mtu wa mavazi
-mshauri na wengineo
# ningeupa mwili wangu thamani ya sauti yangu. ningeuvalisha vzr, ningeupa mda wa kupumzika ningejifunza zaidi kwa waliofanikiwa duniani.
# ningepiga collabo la faster na mcongo man (fallpupa) kwa kua ananikubari ili kujizolea mashabiki wake.
# ningeacha kuteas kitu ambacho hakijakamilika au kinachotarajia kufanyika miezi ijayo.
# ningehama kunduchi nakuhamia bunju.(usiulize kwanini)
# ningevunja sijui team A mara team B yani ningekua neutral ili yoyote apendae kazi zangu anisaport.
# nisingetangaza kufanya shoo za live bali ningefanya kama saprise.
# ningempa director chipukiz wa bongo kushoot cheketua.
#ningeoa .
tuendelee wadau kesho tunaamia kwa FID Q kimtazamo tu! au niendelee!

endeleaaaaaa!.
 
Hahhaaaahaaa ukalale wapi?
Kalale njia panda uchi ubadilishe matokeo ya mwana kuchukua video bora ya mwaka

sema wimbo bora labda, video bora? mbona ntahamia garissa ingawa sipendi hzo team ya kiuhalisia tu!
 
Ni ngumu kuchukua tuzo au kuwa hata nominated tuzo za kimataifa kama 'local awards' tu za Kilimanjaro unamiliki tuzo moja tu na una miaka karibia 10 kwenye mziki!

Halafu unajiita king, labda n king wa nin nyie mashabik wake, nijuzeni.
 
Huyu jamaa ana uongozi mbovu ange tafuta manager mpya au aendee tuu wasafi atafika mbali muda unaenda tuu bila mambo ya maana aachane na bongo adili na kimataifa zaidi ila mashabiki zake wanamponza na vitunzo vya watu apige za mbele hizi ajitoe kabisa siyo size yake
 
Unaweza kuwa na soka safi ila chelsea akakutoa kwa style ya kupaki bus muziki biashara nasiyo kuuza sura ajitumie kupiga pesa na siyo sifa za watu jamaa ana weza ona mwenzie mondi ana kipaji kikubwa ila anajua mziki biashara anafanya kweli
 
Yap ilo wazo zuri baada ya kuchukiana aombee mawazo ajue mwenzie ana fanya nini mpka. Ana fanikiwa
 
Acha kutoa ushauri mzuri kwa hilo zoba. Hawezi kuondoa mgt yake, yupo chini ya Ruge na clouds media huo msukule
 
Back
Top Bottom