Diamond afungiwe au afukuzwe nchi

Unapendezwa au kufurahi kuona matako na matiti ya mwanamke hadharani? Kumbuka ndo alokuzaa.acha mawazo ya karne ya 5 .ni lazima tutetee maadili yetu ipasavyo
Kwani diamond ndo anawavua nguo..
Kila mtu anavua kwa matakwa yake hakuna aliye lazinishwa...

Na matako ya gigy money hayawezi kuzuia ujenzi wa viwanda
 
Wengne tunavutiwa na video zisizo na maadili,..zenye maadil naona kama kupotezeana muda tu
 
Kijana kwa hiyo roho ya Dada yenu wa Marekani pepo uisome kwenye vitabu tu hapa duniani. Nakushauri umrejee Mungu haraka akupe uponyaji na kuitakasa roho yako ambayo imejaa pepo wachafu.
 
Nawe unasapoti ujinga.ebu tukue hata kidogo basi.ni lazima wanawake waheshimiwe na utu wao utunze.
utandawazi ni mgumu sana kuuepuka
kama soko la mziki duniani lina badilika ni lazima afate ili kupata faida ya mziki wake

sasa babu ukitaka wote waimbe kama mrisho mpoto unakosea
 
Hahahahaha...umenifurahisha sana mleta uzi huu hasa pale ulipomalizia AU AFUKUZWE NCHI..
 
Natamani sana hao wanaotetea hizo video wangeweka angalau picha za video za dada zao halafu wakazisambaza mitandaoni,fb,twitter na kwingineko ili wawasaidid dada zao kupiga hela kupitia sanaa hiyo.
ACHENI AKILI MAJI NYIE
 
ukikataza hizo video za kina diamond ukataze tamthilia mbal mbali zinazorushwa na tv mbal mbal wanawake wakiwa uchi.! huwa sion maana ya kukataza hizo video wakati kuna movie na episode kibao mtaaan pamoja na video za nje zinaangaliwa. sa sijui utalindaje maadili. waachen wafanye tu Sababu hata kuwakataza haitasaidia
Acha kufananisha uchi za kizungu na za kibongo wewe! Za kikwetu zinawepagawawisha bw! Ukiona Mara moja tu picha haifutiki wiki nzima kwenye glasi ya maji, darini hata ukifumba macho IPO tu. Wakatazwe tu!!!
 
Unapendezwa au kufurahi kuona matako na matiti ya mwanamke hadharani? Kumbuka ndo alokuzaa.acha mawazo ya karne ya 5 .ni lazima tutetee maadili yetu ipasavyo
Pesa ndo kila kitu mkuu sasa wewe na umasikini wako bado unajidai unamaadili

Madili bila pesa ni ujinga

OVER
 
Natamani sana hao wanaotetea hizo video wangeweka angalau picha za video za dada zao halafu wakazisambaza mitandaoni,fb,twitter na kwingineko ili wawasaidid dada zao kupiga hela kupitia sanaa hiyo.
ACHENI AKILI MAJI NYIE
Umenena kabisa.wenye akili hizi ni wachache
 
Back
Top Bottom