Mkuu nimesoma uzi huu, tokea post ya mwanzo, katika kujibu maswali ya wadau, kuna baadhi ya hoja zillibuka ndani ya uzi, ukaahidi kuwa mwishoni wa uzi utatujibu mfano kuna mtu aliuliza kuhusu alliens, pia kuna jambo nilitaka pia ulifafanue kwa sababu lina maslahi mapana na nchi yetu, "Makosa...
Kama wasomi wetu ndo hao wakiteuliwa kwenye serikali wanashukuru aliyewateua na kumfananisha Mteuzi kuwa sawa na Mungu, hatuwezi kutoka hapa tulipo, kama waziri mwenye dhamana kwa uwezo wake na elimu yake ya uchumi kaona mahali pa kupata fedha za kuendeshea serikali ni tozoo every thing now is...
Hili ndilo tatizo kubwa wengi wa wawakilishi wetu hawakuchaguliwa kwa kura halali, hivyo hawana uchungu na hizo nafasi, ndio maana baadhi ya mawaziri wenye dhamana wanawajibu watu wanavyotaka kuhusu tozo, kukatika umeme hovyo hovyo, sababu ni nani anaweza kuwawajibisha?
sawa mamlaka za uteuzi...
Nakumbuka hata mwendo kasi tulionyesha tata flani huku mtandaoni, tukakata tamaa lakini Mashine ziliposhuka tuona wenyewe. Nadhan hiyo imewekwa kama sample tu. Lakini Mashine zenyewe zitakuwa suprise
Na magari ya washa washa yako kila kituo kikuu cha polisi, msijefikiri hatujui mnataka nini? Tena kutoka ziingie kwa wingi wake hazijafanya kazi yoyote, serikali inataka kodi, fanyakazi mzigo wa Bwana ufike
Akichukua mke wako, kwa madaraka yake tumwachie, aliwalala watoto wako unamwacha, sababu ni mtumishi wa Mungu. Ninavyojua hilo neno linasehem yake, sii hapa tunahitaji katiba mpya yenye mawazo ya kila mwananchi, kuendelea kutumia katiba hii nikuishi kwa kufuata misingi ya kikoloni bila wakoloni.
Ni kweli wakenya wanakuja kwetu kulima, lakini mjue kuna watanzania wengi tuu wanalima kenya wengine wamefungua hadi biashara zingine nje ya kilimo, hivyo ni issue ya kuangalia ni wapi panakufaa. Mimi kuna jamaa ni jirani yangu yuko vzr tu, analima na ameajiri vijana wengi toka kijijini, Na...
Mr. ulichosema ni kweli niko kwenye group moja la United Pan africanism(UPAM), ambalo limeundwa na waafrica waishio mabara mengine na wana wawakilishi karibia nchi zote za Africa. Mara zote wamekuwa wakimtazama Magufuli kama Rais wa mfano, kwa mawazo yangu nadhani ule msimamo wa JPM kuhusu...
Karibia taasisi nyingi zinazokopesha zinasumbua sana wateja ukitaka kuclear mkopo, Kuna mtu namfaham wanamzungusha toka mwaka Jana mwezi wa kumi.
Nahisi hizi taasisi nyingi zinakuwa na vigogo ndio maana pamoja na malalamiko mengi ya waajiriwa lakini mkono mrefu wa serekali yetu pendwa...
Kwenye hili janga la Corona, tuna la kujifunza kwa sasa wenye mamlaka wanapaswa kujua ni muhim kuimarisha huduma za afya hapa
nchini maana kwa sasa hata kama una pesa zako huwezi kutoka kwenda kutibiwa huko
nje, ambako ilikuwa ndio tumaini la wenye madaraka na wenye fedha. Sasa hivi tunatibiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.