Kama Dangote kafunga mitungi ya gesi kwenye malori yake, Mimi ni nani hata nisibadili mfumo wa nishati ya gari yangu?

UKOKOTOAJI WA BEI ZA MAFUTA YANAYOPOKELEWA BANDARI YA DAR ES SALAAM (Mfano Petrol/Lita)

1. Total Cost (CIF to Dar Port) = 1162 Tshs/Lita.

Then, LOCAL COSTS PAYABLE TO OTHER AUTHORITIES.

2. Wharfage = 20.6 Tshs/Lita

3. Railway Development Levy (1.5% CIF) = 17.4 Tshs/Lita.

4. Customs Processing Fee = 4.8 Tshs/Lita

5. Weights & Measures (WMA) Fee = 1.0 Tshs/Lita

6. TBS Charge = 1.2 Tshs/Lita

7. TASAC Fee = 3.5 Tshs/Lita

8. EWURA Fee = 6.1 Tshs/Lita

9. Fuel Marking = 14.1 Tshs/Lita

10. Demurrage Costs = 5.5 Tshs/Lita

11. Surveyors Cost = 0.18 Tshs/Lita

12. Financing Cost = 11.6 Tshs/Lita

13. Evaporation Losses = 5.8 Tshs/Lita

14. Fuel Levy = 413. Tshs/Lita

15. Excise Duty = 379 Tshs/Lita

16. Petroleum Fee = 100 Tshs/Lita

17. Oil Marketing Companies Overheads & Margins = 123 Tshs/Lita

18. Charges Payable to Executive Agencies = 1.0 Tshs/Lita

19. Service Levy Payable to Local government authorities (Ushuru wa Halmashauri~ Wholesale) = 5.7 Tshs/Lita

Total Wholesale Price Cap = Tshs/Lita 2275.

Then
1. Retailers Margin = 108 Tshs/Lita

2. Charges payable to Executive Agencies = 5.44 Tshs/Lita

3. Transport Charges (Local) = 10 Tshs/Lita

4. Service Levy payable to Local government authorities (Retail) = 6.1 Tshs/Lita

Jumla kabisa bei ya rejareja vituoni = 2405 Tshs/Lita.
 
CCM Ni Chanzo Cha Matatizo, badala ya kufikiria kuboresha maisha ya watu wake, wao wanafikiria ni jinsi gani wawaumize wananchi.
Kwa mawazo yenu mgando ya kuamini kwenye uchawi wa mwenge kupumbaza watu, yakiingia nchini magari ya umeme 100% mtachaji Nini?
Tayari mtaani Kuna pikipiki na bajaji nyingi za umeme 100% mnazikamuaje Kodi ya kila siku?
Tutapiga marufuku vyombo vya umeme
 
Na magari ya washa washa yako kila kituo kikuu cha polisi, msijefikiri hatujui mnataka nini? Tena kutoka ziingie kwa wingi wake hazijafanya kazi yoyote, serikali inataka kodi, fanyakazi mzigo wa Bwana ufike
 
Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha.

Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550.
Gharama za kubadili mfumo ni kama milioni moja na kidogo.

Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumo, sitaki ujinga mimi

UKOKOTOAJI WA BEI ZA MAFUTA YANAYOPOKELEWA BANDARI YA DAR ES SALAAM (Mfano Petrol/Lita)

1. Total Cost (CIF to Dar Port) = 1162 Tshs/Lita.

Then, LOCAL COSTS PAYABLE TO OTHER AUTHORITIES.

2. Wharfage = 20.6 Tshs/Lita

3. Railway Development Levy (1.5% CIF) = 17.4 Tshs/Lita.

4. Customs Processing Fee = 4.8 Tshs/Lita

5. Weights & Measures (WMA) Fee = 1.0 Tshs/Lita

6. TBS Charge = 1.2 Tshs/Lita

7. TASAC Fee = 3.5 Tshs/Lita

8. EWURA Fee = 6.1 Tshs/Lita

9. Fuel Marking = 14.1 Tshs/Lita

10. Demurrage Costs = 5.5 Tshs/Lita

11. Surveyors Cost = 0.18 Tshs/Lita

12. Financing Cost = 11.6 Tshs/Lita

13. Evaporation Losses = 5.8 Tshs/Lita

14. Fuel Levy = 413. Tshs/Lita

15. Excise Duty = 379 Tshs/Lita

16. Petroleum Fee = 100 Tshs/Lita

17. Oil Marketing Companies Overheads & Margins = 123 Tshs/Lita

18. Charges Payable to Executive Agencies = 1.0 Tshs/Lita

19. Service Levy Payable to Local government authorities (Ushuru wa Halmashauri~ Wholesale) = 5.7 Tshs/Lita

Total Wholesale Price Cap = Tshs/Lita 2275.

Then
1. Retailers Margin = 108 Tshs/Lita

2. Charges payable to Executive Agencies = 5.44 Tshs/Lita

3. Transport Charges (Local) = 10 Tshs/Lita

4. Service Levy payable to Local government authorities (Retail) = 6.1 Tshs/Lita

Jumla kabisa bei ya rejareja vituoni = 2405 Tshs/Lita.
Hii ndo nchi ya msururu wa kodi , ila hapa serikali kumbe inatupiga pesa ndefu namna hii ,Tatizo la hiyo natural gas ni availability yake nakama watu wengi wata-shift kutoka mafuta kwenda kwa n/gas utashangaa serikali inakimbilia huko faster na kuongeza tena msururu was makodi
 
Tunawasubiri mje kwenye Gas huku ndio tutapata ela nyingi zaidi maana tukiweka apo 500 ya serikali bado haitafikia hela ya mafuta, kiufupi tutapata kodi nyingi zaidi kuliko hii kiduchu ya mafuta sasa hivi.
Kenge sana kwahio mnatusubiria tuongezeke ongezeke kidogo 😅😅😅
 
  • Kicheko
Reactions: vvm
Hii ndo nchi ya msururu wa kodi , ila hapa serikali kumbe inatupiga pesa ndefu namna hii ,Tatizo la hiyo natural gas ni availability yake nakama watu wengi wata-shift kutoka mafuta kwenda kwa n/gas utashangaa serikali inakimbilia huko faster na kuongeza tena msururu was makodi
Wanatusubiria huko wamesema wataongeza 400 kabisa 😂😅😅😅😂☺️😂😂😂😂 na kimsingi ndio akili ya hawa wabunge ilivyo sitarajii kuona kitu tofauti na hiki!
 
CCM Ni Chanzo Cha Matatizo, badala ya kufikiria kuboresha maisha ya watu wake, wao wanafikiria ni jinsi gani wawaumize wananchi.
Kwa mawazo yenu mgando ya kuamini kwenye uchawi wa mwenge kupumbaza watu, yakiingia nchini magari ya umeme 100% mtachaji Nini?
Tayari mtaani Kuna pikipiki na bajaji nyingi za umeme 100% mnazikamuaje Kodi ya kila siku?
Hahahahaha watahamishia kodi kwenye luku 😅😅😅 hamuwezi wakimbia kijanja wao ni kama kivuli chako😅
 
Bujibuji unajua tatizo siyo mafuta Bali tatizo ni akili za watawala wetu, tatizo lingekuwa mafuta watanzania walioko maeneo ya mipakani wasingekimbilia nchi jirani kujaza mafuta.

Endapo wengi mtakimbilia kubadilisha mfumo na kutumia gesi uko itaongezwa Kodi ya kukataa uzalendo na mwisho wa siku utakuwa hauna pa kukimbilia. Mbunge anakutungia sheria ya kukubana yeye anajitungia kanuni za kumnasua
Mbunge anatunga sheria yeye asichangie kodi ila nyie wananchi ndio wazalendo mchangie kwa ajili ya maendeleo yenu wanawapiga spana pale mjengoni😅😅😅
 
Back
Top Bottom