Recent content by Mateja M.G Yango

  1. Mateja M.G Yango

    JamiiForums Tanzania Malisa GJ: Mchanganuo wa Fedha za Simba na Yanga una utata

    Yanga na Simba wajenge viwanja vyao ili waache kulia lia kila siku.
  2. Mateja M.G Yango

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta China naiona jela inaniita, nisaidieni mwenzenu ninusurike

    Kwahiyo unahisi hii story haijawahi letwa humu ndani au!?
  3. Mateja M.G Yango

    JamiiForums Tanzania Rais kukaa Chato ni gharama kwa Taifa

    Hoja mezani ni yeye kwenda likizo kwao!? Swala la majukumu ni jipya kwenye huu mjadala.
  4. Mateja M.G Yango

    JamiiForums Tanzania Rais kukaa Chato ni gharama kwa Taifa

    Vyovyote vile!?
  5. Mateja M.G Yango

    JamiiForums Tanzania Rais kukaa Chato ni gharama kwa Taifa

    Kwa hiyo asiende likizo kwao kama mkataba wa kazi unavyotoa siku 30 za likizo kwa mwaka!?
  6. Mateja M.G Yango

    JamiiForums Tanzania Nimeridhika kabisa: Mbwana Samatta hakuwa msaada kwa Aston Villa, Watkins ameonesha utofauti mkubwa

    Upepo umeigeukia tu Aston Villa. Pengine hata Samatta sasa angekuwa anatupia tu. Alikaa Torres msimu mzima haoni nyavu sembuse Samatta.
  7. Mateja M.G Yango

    JamiiForums Tanzania Kwanini uhangaike kuita gari la kunyonya maji taka wakati kuna mfumo ambao ukiuweka shimo halitajaa

    gharama zipo vipi? kwa system ndogo.
  8. Mateja M.G Yango

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusu Bilionea wa Tanzanite

    unataka uambiwe kapata bilioni 100 ili umuongezee matatizo?
  9. Mateja M.G Yango

    JamiiForums Tanzania Aliyepewa viatu vya Ruge "Jasiri Muongoza Njia" vinampwaya

    Ruge hadi anaaga dunia alikuwa in the same position kwa zaidi ya miaka 20, sasa mtu hata mwaka haujaisha unataka ona matokeo, elewa tu kwamba matokeo ya muda mfupi waga yanaishi maisha mafupi. Michael Jordan aliitumikia Chicago Bulls almost miaka 10 kabla Bulls hawajapata back to back 5 titles...
  10. Mateja M.G Yango

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Air Tanzania kukamatwa. Ndege ya Rais haikamatwi kwa sheria za IATA

    jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, Mishe za Rwanda kuja chukua samaki Mwanza zimeanza hata kabla ya Mkulima kukamata ndege SA, yani hata kabla ya ujenze wa runway mpya ya Mwanza airport kukamilika. Na kilichochelewesha kwa muda mrefu ni ujenzi wa mahala pa kutunzia mizigo ya fillet kabla...
  11. Mateja M.G Yango

    JamiiForums Tanzania Aliejiunganishia Channel za DSTV ahukumiwa miaka mitatu

    nadhani wengi hamjaelewa anachokifanya huyu ndugu. Yeye ana cable tv network yake, kwenye hiyo cable tv network yake ndio kaunganisha channel za dstv ambazo zenyewe anazipata kihalali kitoka dstv, ila hana kibali cha kuzosambaza channel za dstv. hivyo wateja wa ghana tv network walikuwa...
  12. Mateja M.G Yango

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya E, G na H kwenye mitandao ya simu?

    E- EDGE (Hii ni 2G pia but ina data, japo data speed yake ipo limited). G- 2G GSM (hii ni Second Generation GSM tech, haina data, ni text na calls only) H- 3G HSPA (High Speed Packet Access, internet inayomwagika)
  13. Mateja M.G Yango

    JamiiForums Tanzania TANESCO achana na Solar Energy, ni wizi na hasara kwa Taifa

    Mikataba inayoingiwa sasa hivi na Tanesco si kama ilivyokuwa huko zamani. Transfer project inamaana Tanesco anaimiliki hiyo project free of charge, in many cases kwa issue ya solar ataiendesha kwa miaka 5 itakuwa imeshuka thamani au technology mpya itakuwepo hivyo hakutokuwa na haja ya Tanesco...
  14. Mateja M.G Yango

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yashangazwa kwanini virusi vya Corona haviwadhuru Waafrika

    Maisha yetu tu ni Corona Plus Plus.
Back
Top Bottom