COVID-19: Viwanda vya Samaki jijini Mwanza vyafungwa. Shughuli za Uvuvi zaathirika na wavuvi kupata hasara

kingunge wa jf

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
396
500
Leo nimepokea simu kutoka kwa meneja wa kiwanda kimoja hapa jijini Mwanza ambako ndio napeleka samaki zangu baada ya kuvua. Nipo beach ambako ndio gari langu linapakia samaki lakini kwa taarifa nilizopata natakiwa leo niwe nimepeleka mzigo tofauti na leo hawapokei mzigo.

Kwa uhalisia ulivyo siwezi kutoka na mzigo nikafile leo au kesho kiwandani, hii ni hasara tayari. Lakini bado najiuliza maswali kuhusu kufungwa kwa viwanda na hotuba ya Rais jana.

Wakati Rais akielekeza tuendelee kuchapa kazi kumbe sirini serikali hii hii inatoa order ya kufunga kiwanda? Au hili la kufunga viwanda si la Serikali?

Na kama ni la serikali kwa nini tusipate muda walau wa Juma moja ili tunusuru hasara hizi?

Serikali angalieni namna nzuri ya kudeal na hili.
 
sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
4,329
2,000
Tanzania ni sehemu ya dunia,dunia sasa hivi inapambana na Corona.Shughuli za binadamu karibu sehemu nyingi duniani zimesimama.Wakuu wa nchi za magharibi na Marekani wanadai hawajapata wakati mgumu tokea vita kuu ya ya 2 ya dunia kama wakati huu wa Corona virus.
It's a matter of common sense hali siyo ya kawaida na huu ni mwanzo,picha kamili bado ni hatari.
 
Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
4,955
2,000
Sio kweli,processed fish soko kubwa liko nje huko amabako korona imepiga zaidi.Ulaya tu makapuni ya kupeleka vyakula kama mboga na vyakula vingine kwenye migahawa wanalia hawa samaki wetu ndio watauzika?
Asante mkuu nimekuelewa,
 
muhamar Gadaf

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
823
1,000
Leo nimepokea simu kutoka kwa meneja wa kiwanda kimoja hapa jijini Mwanza ambako ndio napeleka samaki zangu baada ya kuvua. Nipo beach ambako ndio gari langu linapakia samaki lakini kwa taarifa nilizopata natakiwa leo niwe nimepeleka mzigo tofauti na leo hawapokei mzigo.

Kwa uhalisia ulivyo siwezi kutoka na mzigo nikafile leo au kesho kiwandani, hii ni hasara tayari. Lakini bado najiuliza maswali kuhusu kufungwa kwa viwanda na hotuba ya Rais jana.

Wakati Rais akielekeza tuendelee kuchapa kazi kumbe sirini serikali hii hii inatoa order ya kufunga kiwanda? Au hili la kufunga viwanda si la Serikali?

Na kama ni la serikali kwa nini tusipate muda walau wa Juma moja ili tunusuru hasara hizi?

Serikali angalieni namna nzuri ya kudeal na hili.
mkuu samahani niko mwanza nahitaji samaki wa kula kusafirisha kwenda dar kwa.kesho kutwa
 
MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
2,311
2,000
Leo nimepokea simu kutoka kwa meneja wa kiwanda kimoja hapa jijini Mwanza ambako ndio napeleka samaki zangu baada ya kuvua. Nipo beach ambako ndio gari langu linapakia samaki lakini kwa taarifa nilizopata natakiwa leo niwe nimepeleka mzigo tofauti na leo hawapokei mzigo.

Kwa uhalisia ulivyo siwezi kutoka na mzigo nikafile leo au kesho kiwandani, hii ni hasara tayari. Lakini bado najiuliza maswali kuhusu kufungwa kwa viwanda na hotuba ya Rais jana.

Wakati Rais akielekeza tuendelee kuchapa kazi kumbe sirini serikali hii hii inatoa order ya kufunga kiwanda? Au hili la kufunga viwanda si la Serikali?

Na kama ni la serikali kwa nini tusipate muda walau wa Juma moja ili tunusuru hasara hizi?

Serikali angalieni namna nzuri ya kudeal na hili.
lete dar es salaam twahitaji sana, mlizoea kutulisha makapi .....
 
fred mwakitundu

Senior Member
Dec 31, 2018
134
250
Bado hatujaanza kulia,hii Corona ikichanganya kweli kweli twafaaaa,unakufa ukijiona,maana ndani huna chakula,huna chochote hasa hizi kaya zetu maskini ambazo ili ule lazima uende sokoni ukauze na kununua.

Kwa hiyo Mzee Baba hao samaki wako nenda Mwaroni Kirumba ukwauze reje reja vinginevyo watachina,au nenda Kamanga Feri ukawauzia abiria wanaoenda Sengerema,Geita,Chato,Buseresere na kwingineko,ni ushauri tu
 
Top Bottom