Recent content by matawi

  1. M

    JamiiForums Kuna jambo litatokea ndani ya muda mfupi ujao!!!

    Hapo hujatabiri mkuu ume analyse based on some facts ni kitu ambacho kinaweza fanywa na mtu mwenye akili ya kawaida kabisa
  2. M

    JamiiForums Tanzania kuizidi Kenya kiuchumi kwa 20%

    Vilaza wanatuchosha humu
  3. M

    JamiiForums Serikali (TAKUKURU) yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar

    Sijaliona kosa la huyu mtu, labda ni mpaka bunge lipitishe sheria ya kulimit kiwango cha juu cha kununua sukari
  4. M

    JamiiForums Mabilionea wa Mwanza respect and silence

    Mkuu waombe unywe nao chai wakukate kiu
  5. M

    JamiiForums Maono ya Kufikirika: Na Kabwe "Mgonjwa, mstaafu" Kutumbuliwa

    Kafungue kesi utalipwa fidia
  6. M

    JamiiForums Rais Magufuli atembelewa na Odinga nyumbani kwake Chato

    Unaweza kuwa urafiki wa mashaka maana wawili hawa wana ideologia tofauti. Odinga ametoka katika familia ya matajiri na ni watu wanaoamini katika ubepari wakati magufuli anaamini maisha ya kuishi pamoja na kugawana kidogo tulichonacho kugawana wote
  7. M

    JamiiForums Rais Museveni anachochea chuki baina ya Tanzania na Kenya

    Inabidi tuishi kama vile hakuna Uganda ili maisha yaendelee
  8. M

    JamiiForums Zanzibar yasema iko tayari kufa njaa

    Piinda alishasema zanzibar si nchi nyinyi mnaleta hadithi ni nchi
  9. M

    JamiiForums Tuhuma za Rushwa Kamati za Bunge: Zitto ajiuzulu ujumbe wa Kamati ya Huduma za Jamii

    Ni mwanasiasa mjanja sana huyu anajua kujijenga kisiasa
  10. M

    JamiiForums Fatuma Karume: Dk. Shein amewekwa madarakani 'kinyume na utaratibu wa nchi'

    joy p0 Huyu mama anastahili pongezi kwa kusimamia ukweli haina maana kwa sababu wewe ni mtoto wa rais basi uwe unaenda bendera fuata upepo. Acha nyeusi iitwe nyeusi i personally support you
  11. M

    JamiiForums Mwanahabari Salma Said akutana na wanahabari, aeleza kilichotokea

    Mkuu wa inji ni total failure kbs hasa ukizingatia aliapa kuilinda katiba na watu wake
  12. M

    JamiiForums Nape Nnauye kanishangaza sana!!

    Huyo watamfukuza tu huwa haipendi ccmu ngoja uchaguzi ufike uone
  13. M

    JamiiForums Binti wa Kikenya ananitambulisha kama Mkenya huku ugenini

    Hujampiga mchocheo vya kutosha ndo maana utakuwa unachoka mapema, ongeza ufundi kama kule gulioni kate..... . r
  14. M

    JamiiForums Magufuli: IPTL ni mkataba wa ovyo, Serikali haitaendelea nao!

    Tundu lissu aliwahi kisema mradi wa iptl ni mzee wa msooga so ni vizuri aende chukua hatua kule
Back
Top Bottom