Tatizo ni pale pale, TBC is a public institution but business institution, mteule wa Nape hajawahi kuendesha biashara yoyote wala kuwa kiongozi wa shirika wala kampuni yoyote, ni sawa tu na walivyomuweka Mshana walua Tido allikua na advantage ya exposure japo upande wa biashara aliteketeza hasina yote ya TBC. Sijui nchi yetu ina shida gani, hizi ni business leadership positions na sio political positions, mbona kule NSSf wamepeka mtu sahihi? yule bwana ndio alikua head of projects za transformation ya chuo kikuu chote, ni ni mkufunzi wa oxford, sio tu academicians, tunakazi kubwa sana kwa kweli tulikua tunasubiri kwa hamu kubwa uteuzi wa TBC tukifikiri tutapatiwa mtu atakayeonekana kuwa na uwezo wa kupambana na kushindana na kushinda ushindani wa ndani na nje, very sad!