mwanawahaki
Member
- May 27, 2016
- 11
- 4
Great thinkers,
Historia ya kisiasa ya Tanzania na majirani zetu Kenya,mara tu baada ya uhuru inaonesha kuwa kenya haikulenga ktk kujenga umoja,utu na uzalendo bali ilijkita katika kujenga uchumi imara,elimu bora na huduma za afya huku wameacha jamii ikiwa imegawanyika kikabila,ufisadi na rudhwa ukiota mizizi,siasa za nchi zilibaki dhaifu chini ya KANU.
kwa upande mwingine Tanzania iliona ni vema kujenga jamii imara yenye umoja,amani,utu,uzalendo na kuimarisha siasa za nchi na tamaduni zetu hasa lugha yetu ya taifa,huku ikiamini kuwa uchumi imara na maendeleo endevu yatajengwa katika misingi hiyo.
Hivyo pamoja na kuwa kenya iko juu ya Tanzania kiuchumi,kulingana na misingi hiyo ukiacha sababu zingine kama utajiri wa maliasili,NAONA TANZANIA ITAZIDI KENYA KIUCHUMI KWA 20% BAADA YA MIAKA 10 IJAYO,hii pia itatokana jitihada za makusudi ys serikali ya awamu ya tano.