Hapa moshi mjini, nimezunguka vituo vya GAPCO, NGILOI Petrol station, BP Petroleum nimekosa PETROL,nimekuta kibandiko kwenye shell husika kikisomeka hivi " NO PETROL" hali ni mbaya kabisa. Tatizo ni kubwa,hivo katika kuulizia kwa nini hakuna mafuta,si mhudumu yeyote aliyekuwa tayari kusema...