Msaada plz,
mimi nimesoma BBA nikaspecialize accounts & Finance na nikafanikiwa kupata cheti cha CPA ila kila nikiomba nafasi ya uhasibu utumishi wananambia sina lack of bachelor degree certificate as per advert nikiwapigia wanasema sina cheti cha uhasibu na kesi ya vyuo kAMA udsm,SAUT,TUMAIN...
Interview UCSAF senior Fianance officer
1.Explain the qualitative characteristics of financial statement.
2.explain atleast five accounting concept
3.Explain the roles of the conceptual framework.
4.swali la nne lilikua la ku identify ledger
Wapo wachache watakao ona ni jambo jema ila ni moja kati ya maamuzi ya hovyo na yenye maumivu kwa wengi,
Japo wengi wana omba kazi utumishi na kukosa ila wengi bado wanaimani kubwa na utumishi kwenye hizo taasisi zote zimejaa ukititimba na ubinafsi mkubwa ikiwa ni kweli basi vijana wengi wa...
“Ukiona watu wenye akili tena timamu wanashauri mambo ya kijinga ujue fika wako na masilah nalo.” Mwisho wa kunukuu
Hizi taasisi zimeshindwa kujisimamia zije zisimamie kwa usawa,usahihi na haki watu kupata ajira?
Kama ni hoja utumushi wamezidiwa kwa kukosa man power basi ianze kuajiri kwa...
Mm nahtaj mashine ya kupump maji kuyapandisha juu kwenye matank ambayo yatakua 100m toka chanzo cha maji ziwan.Bustan imeanzia ziwan hadi 100 toka chanzo cha maji maji yapo
Mm nahtaj mashine ya kupump maji kuyaandisha juu kwenye matank ambayo yatakua 100m toka chanzo cha maji ziwan.Bustan imeanzia ziwan hadi 100 toka chanzo cha maji
daah tuendelee kusaka mrija tusichoke wazalendo
"Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa."
Ikiwa hili litafanyika tuwe na uhakika wasaka mrija wengi watakosa Asali na huko watajazana vigogo na ndugu zao.
Nadhan hili si jambo la vijana watoto wa masikini kulishabikia hasa ukiwa huna connectiom ajira za vimemo zitajazana
Cheti cha chuo kinakua supported na Academic Transcript haina maana mbaya ukienda navyo,sijui utaratibu woa unachukua mida gani ila mvumilivu hula mbivu kama umekaa muda bila kazi hupungukiwi kitu ukiwa mvumilivu kwa muda so go for it. Atafutae hachoki huchoka akipata
Nenda asee TAESA internship ama trainings zao wanalipwa pia inategemea na ofisi huko mnakopelekwa pia wanawalipa ukienda ka ofisi zao unaweza kata tamaa ila wanatoa sana mchongo na huko kwenye trainings unakolwenda utapata network na connection pia exposure jambo ambalo ni zuri kwa job seeker
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.