Recent content by Matan

  1. Matan

    Ushauri kwa mabinti ambao hawajaolewa bado

    ubarikiwe na topic nzuri sana, nimepata mafunzo ya kutosha, kuomba, kujianda, kusubiri (kutarajia)...sio kutafuta. Nilipotea hapo nyuma.
  2. Matan

    AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

    Stallions mmenipa raha jamani dakika ya mwisho.
  3. Matan

    AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

    :A S soccer:ni Chipolopolo ndio naiwazia ila chochote chaweza kutokeoa na hawa Antelopes all in all Super Eagles wakifungwa nitalala vizuri....:A S soccer:
  4. Matan

    Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

    Poleni sana wafiwa, Mungu awafariji na awalinde mmalize msiba salama.
  5. Matan

    Aina za Movies anazoangalia mwanao inachingia katika Maamuzi na Mtazamo wa Mtoto

    Ni kweli tunahitaji study zinazolenga mazingira yetu ila mpaka pale zitakapopatikana tunaweza kujifunza kutoka kwao tunachukua kinachofanya kazi katika mazingira yetu na kuacha kisichotufaa. Ninanukuu "Learn from the mistakes of others, you can't live long enough to make them all yourself"...
  6. Matan

    Aina za Movies anazoangalia mwanao inachingia katika Maamuzi na Mtazamo wa Mtoto

    Nukuu toka The Payne Fund Studies, mtoto wa miaka nane (8) atakumbuka vitu vitatu kati ya vitano alizoangalia, (Charters, 8), hii ina maana kama kuna matukio ishirini (10) ya uuaji mtoto atakumbuka sita (6) kati ya yote, mzazi au mlezi julize unajenga nini unaporohusu mtoto aangalie TV bila...
  7. Matan

    jamani hivi love connect..

    Nikupotezea tu na kuendelea kusoma na kufurahia post mimi nilipost hapo nikagundua sipo kama nilivyofikiri.
  8. Matan

    Jimmy Savile scandal: Report reveals extent of abuse

    The former BBC presenter and Radio 1 DJ died aged 84 in October 2011, a year before the allegations emerged in an ITV documentary.Friday's report, Giving Victims a Voice, set out what Scotland Yard and the NSPCC have discovered about Savile since they launched the inquiry - Operation Yewtree -...
  9. Matan

    Asilimia 85 ya wanaume wa kitanzania waishio ulaya wameolewa

    Si support jinsia mmoja na ninaomba Mungu aniepushie kwenye familia na marafiki wanaonizunguka wasiangukie huko, ila mambo hayo yanafanywa na watu mbali mbali haichagui Nchi uliyotoka, haichagui shida ulizonazo (ingawa kuna wanaofanya kutokana na shida ila wako wengine wengi wanafanya kutokana...
Back
Top Bottom