rmashauri
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 3,011
- 462
Half time nigeria 1-0 burkina faso
Jamaa wamefunga goli zuri sana, linafaa kuingizwa kwenye orodha ya magoli bora kabisa duniani.
Half time nigeria 1-0 burkina faso
Jamaa wamefunga goli zuri sana, linafaa kuingizwa kwenye orodha ya magoli bora kabisa duniani.
Droo naona sasa zimetawala!Na mpiraaaa!umekwishaaa!nigeria 1-1 bukinabe
Uko sahihi kabisa mkuu,nilijiuliza ni mchezaji gani duniani angekuwa na akili za kufunga kinamna ile ktk hali ile
leo ngoja tuone Tembo wa Africa wanajipya gani.!