Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
nashukuru my cousin natamani sana nije huko mkoani kukusalimia ila mume wangu ananikatakaza nisiende kwa ndugu zangu anasema eti utaachana na nduguzo na mama, baba utaambatana na mumeo nanyi mtakuwa mwili mmoja hivyo sipaswi kwenda kwani nilishaachana nanyi naomba umsaidie aelewe maandiko vizuri
huyo shem haache kukubania bwana, kama vipi ngoja nijipange nije mimi cousin wangu