AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

:A S soccer:ni Chipolopolo ndio naiwazia ila chochote chaweza kutokeoa na hawa Antelopes all in all Super Eagles wakifungwa nitalala vizuri....:A S soccer:
 
Chipolopolo wamezidiwa sasa. Waethiopia wanatandaza kabumbu safi sasa.
 
Hawa makocha wakati mwingine sijuwi akili zao huwa hazifanyikazi? Unawezaje kufanya substitution zikiwa zimebaki sekunde chache tu mpira uishe!
 
Zambia wamefanywa kitu mbaya na Wahabeshi, hawakutarajia kupata upinzini mkubwa kutoka kwa timu iliyokuwa ikicheza pungufu.
 
Zambia wamefanywa kitu mbaya na Wahabeshi, hawakutarajia kupata upinzini mkubwa kutoka kwa timu iliyokuwa ikicheza pungufu.


Hapa ndipo utamu wa mashindano haya ulipolala....inakuwa vizuri pale ambapo wale wanaojiona ni giants wanapopelekwa puta....

Safi sana Ethiopia,
 
Back
Top Bottom