Recent content by matamauruke

  1. matamauruke

    Kuna ushindi katika kukaa kimya (kunyamaza)

    N Naona kama nakumbushwa kuendelea kua mkimya elimu nzuri sana kwa wazee wa kuropoka
  2. matamauruke

    Vitu gani vinavyokuzuia wewe kupata mafanikio /kuzidi kuendelea!?

    Mi napiga sana mitungi nadhani kwangu hili ndio tatizo
  3. matamauruke

    Hivi serikali inamuogopa Gwajima?

    Siku zake zinahesabika wazee wa kazi wanamlia timing na nzuri zaidi wamesha mseti na yeye ameisha ingia kichwa kichwa hachomoki ni swala la muda tu.
  4. matamauruke

    Asanteni Maafisa bandari, siku nyingine mkitengeneza sinema mkumbuke kubandua plate number

    Alafu naona kama si bandalini ni nyumbani kwa mtu naona geti pale nyuma.
  5. matamauruke

    Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

    Yani kaonekana fala tu bora hata angepiga juu basi tujue alikua anatawanya watu, Yani katoa bastola halafu hajaitumia alafu nape anamuangalia kwa dharaaau huku kaweka mkono mifukoni yani bonge ya dharau.
  6. matamauruke

    Hodi JF Mimi ni mgeni naomba mnikaribishe

    Karibu sana funguka ujibu upo upande gani ke au me?
  7. matamauruke

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Ni pm kama bado hujapata kipo tegeta chu
  8. matamauruke

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    120 kwa mweni unalipa miezi 6
  9. matamauruke

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    120 kwa mwezi unalipa miezi6
  10. matamauruke

    Magufuli na Makonda watawaweza 'watoto wa mjini'?

    Mjini mipango mambo yetu kimya kimya matokeo watayasoma tu muda hauongopi.
  11. matamauruke

    Clouds mjiandae kupita katika kipindi kigumu

    Kama nawaona TRA na makufuri yao wakijongea
  12. matamauruke

    Mashaka makubwa kwa uongozi wa awamu ya tano

    Hii mbaya sana hasa wananchi watakapo choka na hayo madharau na kuamua liwalo naliwe nakuamua kujiondoa ufahamu na kujivika mabomu.
  13. matamauruke

    Ilala: Zaidi ya Masaa 24 Bomba la Maji Lapasuka na Maji yanatiririka

    Yawezekana ni main pipe yakuleta maji mjini ni ngumu kuziba bila kuzima pump au kufunga gate valve ambayo laia huwezi ni mpaka wao wenyewe wafunge.
Back
Top Bottom