J juny luu New Member Mar 21, 2017 1 1 Mar 23, 2017 #1 Poleni na Kazi wakuu . kichwa cha habari kinajieleza , asanteni
Siafu na Manga JF-Expert Member Aug 5, 2013 2,884 8,955 Mar 23, 2017 #3 juny luu said: Poleni na Kazi wakuu . kichwa cha habari kinajieleza , asanteni Click to expand... megen wewe ni Ke au Me tuanzie hapo kwanza
juny luu said: Poleni na Kazi wakuu . kichwa cha habari kinajieleza , asanteni Click to expand... megen wewe ni Ke au Me tuanzie hapo kwanza
Ndallo JF-Expert Member Oct 1, 2010 7,619 4,295 Mar 23, 2017 #4 Karibu sana lakini umesahau kujitambilisha kama wewe ni Jogoo au ni Mtetea!
matamauruke JF-Expert Member Jan 18, 2016 348 211 Mar 23, 2017 #5 Karibu sana funguka ujibu upo upande gani ke au me?
Jabman JF-Expert Member Jul 27, 2016 1,005 1,337 Mar 23, 2017 #6 Mimi nitakumega kwelikweli. Si umesema ," Mimi nimegeni". Usichoke kumegwa
GENTAMYCINE JF-Expert Member Jul 13, 2013 59,949 119,212 Mar 23, 2017 #11 juny luu said: Poleni na Kazi wakuu . kichwa cha habari kinajieleza , asanteni Click to expand... Umeingia wakati mbaya sana huku Bashite anatusumbua halafu Mpiganaji wetu katumbuliwa leo hivyo utuvumilie tu kama tukikengeuka nawe Mgeni.
juny luu said: Poleni na Kazi wakuu . kichwa cha habari kinajieleza , asanteni Click to expand... Umeingia wakati mbaya sana huku Bashite anatusumbua halafu Mpiganaji wetu katumbuliwa leo hivyo utuvumilie tu kama tukikengeuka nawe Mgeni.