Say no to actors
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 637
- 641
Wapendwa wanajamvi,
Nimevumilia na hàtimaye uzalendo umenishinda. Hakuna rais yeyote duniani ambaye alishawahi kuwa na kauli za dharau na maudhi kwa wananchi wake kama rais magufuli.
Hata ukifuatilia rekodi za Marais ambao waliongoza kidikiteta katika nchi zao hawakuwa na kauli za kuudhi na za kipumbavu kama nilizosikia Leo kutoka kwa huyu rais.
Amewadharau watu wote kama alivyozoea kumdharau mke wake. Wako wapi wazee mbalimbali na viongozi wa dini ambao kipindi cha kikwete walikuwa wakitoka wazi na kukemea?
Hii dharau huyu mtu kaipata wapi na kwa nini awe na dharau kiasi hiki kama vile nchi haina wanaume wa kuhoji?
Mimi siko tiyari kuvumilia dharau za kijinga hizi kule kwetu mara hasa kijijini kwetu KIRIBA hatukuzoea dharau za kijinga kama hizi zilizotokea Leo, hii Ni zaidi ya udikiteta.
Sasa namuomba rais magufuli atangaze rasmi kuwa nchi sasa inaongozwa kibabe ili tunaoonekana kutokubaliana na upumbavu huo tujitokeze na wanaoonekana kupendezwa na upumbavu huo nao wajitokeze tutafutane mitaani basi.