Recent content by mataaaaaaa

  1. mataaaaaaa

    Mimi ni mwanaume mwenye bahati

    Siku akiomba ml 15 za kulipia kodi ya gar yake Aliyoagiza Japan ulete pia mrejesho mkuu
  2. mataaaaaaa

    Usije kuoa mwanamke ambaye hajalelewa na wazazi wote wawili

    Me ilishantokea kuna Demu nlikuwa nae ye full kuwasema Wanaume tu kwa ubaya sijui nawachukia sijui alichofanyiwa mama angu na baba angu Wala staki kumwona me nlichokifanya n kula tunda tu Na kusepa
  3. mataaaaaaa

    Mahusiano yangu yamekufa rasmi Valentine Day

    Kunywa vant Mkuu umenena vema
  4. mataaaaaaa

    Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

    Mkuu hukumkuta bikra na bado ulisubir ndoa ndo ukaonja!!!!! Mungu tunusuru Waja wako
  5. mataaaaaaa

    Kwa kipimo hiki naghairi ndoa, sioi tena

    Atafutae lazima apate yan nasema iviii lazima apate na ww ulichokitafuta umekipata ila la muhimu zaidi n kwamba subir ukue ndo uoe namaanisha ukue akili na s umri
  6. mataaaaaaa

    Nilimfadhili huyu mwanamke lakini aliyoyatenda ni ajabu

    Mstari unao tenganisha UPENDO na UJINGA n mwembamba sana najaribu kuwaza ivyo
  7. mataaaaaaa

    Konde gang ni label ambayo Wasanii wake wamekosa nidhamu

    Nikukumbushe tu mkuu maana ya neno gang kwa kuswahili n kundi la wahuni
  8. mataaaaaaa

    Mazoezi yanasaidia sana kwenye ngono

    Mkuu umesahau kutuambia gym center yako inapatikana maeneo gan
  9. mataaaaaaa

    Sijawahi kushehekea birthday na mpenzi wangu, nifanye nini kumsherehekea

    Mkuu mshikilie uyo nina mshikaji wangu demu wake ana brithday mbili kwa mwaka na demu anahis mshikaj huwa anasahau ila hii life wakuu tutafika mbinguni tumechoka sana
  10. mataaaaaaa

    Wanaume hii ni sawa?

    We ushamkubali tatizo unahitaj akuhakikishie usalama wako
  11. mataaaaaaa

    Wanaume hii ni sawa?

    Na ww umejuaje kama anataka kukula kimasihara acha mawazo hayo mwamba mpaka akukaribishe kwake ana jambo la muhimu anataka mjadili inaweza ikawa harus moja ikaanzisha nyingine uskatae wito we nenda kizur b kwamba kaja direct ajapinda
  12. mataaaaaaa

    Fuatilia hii story ya K.O utajifunza kitu

    Hongera mwalimu unajua kuandika asee dah ila uyo usinrudie kabisaaa
  13. mataaaaaaa

    Nimempa kibuti rasmi

    Dah wanaume tutafika mbinguni tumechoka sana
  14. mataaaaaaa

    Nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga

    Mkuu mbona maneno makali sana na we n miongon mwa mababu wa busara humu
Back
Top Bottom