mataaaaaaa
Member
- Sep 18, 2021
- 17
- 19
Siku akiomba ml 15 za kulipia kodi ya gar yake Aliyoagiza Japan ulete pia mrejesho mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwanamke asiyeomba pesa yuko mochwari kaka
hakuna cha hadhi wala cha bibi yake hadhi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Swali la msingi umeshawahi kukutana na manzi anakaa masaki ? Na akakwambia kodi imeisha? Au simu imevunjika kioo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena aambiwe kabisaaa, asijeleta uzi wa kulalama humu lol.Siku akiomba ml 15 za kulipia kodi ya gar yake Aliyoagiza Japan ulete pia mrejesho mkuu
Hao hawapatikani kwa akili ndogo mkuu, ni process kwa nyie mliozoea vya kunyonga endeleeni kulokota malaya wa kitambaa cheupe[emoji28]!
Hizo pisi zinatufaa tunaopenda vya kuchinja.
[emoji16][emoji16][emoji16]Ukiweza kutofautisha kati ya slay queen,gold diggers na Mwanamke mzuri utaokoa nafsi yako
Wapo usipinge ,mwanamke asiyeomba pesa yuko mochwari kaka
hakuna cha hadhi wala cha bibi yake hadhi
Yaani mwanamke wa masaki aombe hela akafanye repair ya kioo Cha simu yake!? Huyo itakuwa ni house girl from masaki na sio boss ladyAnaanzia wapi kukwambia hizo habari[emoji28] labda awe mkazi wa Mbagala au Gomz aliehamia masaki!
Ila kwa mzawa wa Masaki huwezi sikia hizo habari.
Ni swala la muda tuu! Hakuna mwanamkea asiyeomba hela hakuna kabisa sema wanatofautiana style za kuomba hela na kiwango cha hela!
Huyo wa masaki anaweza kukuomba umletee zawadi halafu huyo wa mbagala akakuomba elfu 30 ya wigi!
Lakini ni ukweli ulio wazi tunatakiwa kuwa na wa hadhi zetu kuepuka kulalamika lalamika kila muda.
Hii pia ni bahati??
Mimi wala sijali kuombwa pesa, na ninatongoza kwelikweli. Sipendi nikiwa na genye nikose utelezi.
Ukiwa na pesa, kuombwa pesa ni raha sana. Usipokua nayo kuombwa pesa ni kero.
Mr.Lucky inaonekana mtonyo kwako ni changamoto.
Wengi hawataelewa[emoji2]Sema Umenena
Kama Bado huna Majukumu Usipost post. Maana Nyie Ndio baada ya Kupata Majukumu Ya Kifamilia mnaishia Kuwa Na Mahasira Yasiyoisha.
Huduma ndio Msingi mkubwa wa Uanaume usijisifu Huombwi pesa inawezekana hawaoni cha Kikuomba. Ila Wanakuonea HurumaUjinga ni kujifanya unamjua kila mtu hapa Jf