Fuatilia hii story ya K.O utajifunza kitu

Wakati unaweka nyama kumbuka usibiri Hadi uibiwe mamilioni ndio ujue huyo Alie kuibia ni mwizi ....hata akikuibia Mia tu ni mwizi huyo atakuibia vikubwa.

Kama Hana kazi huyo ni jua la kitaa ndio linamleta kwako....kitaa kikipoa nae ndukiii
Asantee mkuu
 
Mura acha uboya, muite morogoro mpime ngoma halafu chakata hiyo mbunye kulipiza kisasi afu achana naye kabisa

Nilidhani ni hadithi kumbe ni mkasa wa kweli?
 
Aliye kuja kuharibu ni mkuu wa shule wa pale aliyeniulza

Kwa hiyo umekamilisha masomo yako upo unakula pesa za ufundii Sasa! Baada ya pale nilipokea ujumbe

Kutoka kwa ayesga "kwani ulikuwa unasoma" sikumjbu

Akaulza tena sms yangu umeiona?

Nikamwambia "kwani ulijua wewe ndo unasoma peke ako???

Akasema basi yaishee bwanaaaa,,,,,

Sikumjibu tenaaa

Hatimaye Mungu alijbu maombi yangu mwaka 2020 mwanzoni nilipta ajira serikalini na kupangiwa Morogoro

Nilianza maisha mapya,,,

CHANGAMOTO NINAYO PITIA TOKA MWAKA JANA ADI LEO NAPITIA USUMBUFU MKUBWA WA MARA KWA MARA KWANI NAPIGIWA SIMU KILA MUDA AKINITAKA TURUDIANE

Nshablock namba adi nimechoka sasa
Naomba ushauri wenu Wana jf asantee sana

Kwenu wanajamii wezangu asantee sana kwa kufatilia kisa hiki

Aminaaaa
Kwahiyo unataka tukwambie umrudie au?? Inamaana we hukumbuki alipokuja kukuona na bwana ake mwingine??
 
Aliye kuja kuharibu ni mkuu wa shule wa pale aliyeniulza

Kwa hiyo umekamilisha masomo yako upo unakula pesa za ufundii Sasa! Baada ya pale nilipokea ujumbe

Kutoka kwa ayesga "kwani ulikuwa unasoma" sikumjbu

Akaulza tena sms yangu umeiona?

Nikamwambia "kwani ulijua wewe ndo unasoma peke ako???

Akasema basi yaishee bwanaaaa,,,,,

Sikumjibu tenaaa

Hatimaye Mungu alijbu maombi yangu mwaka 2020 mwanzoni nilipta ajira serikalini na kupangiwa Morogoro

Nilianza maisha mapya,,,

CHANGAMOTO NINAYO PITIA TOKA MWAKA JANA ADI LEO NAPITIA USUMBUFU MKUBWA WA MARA KWA MARA KWANI NAPIGIWA SIMU KILA MUDA AKINITAKA TURUDIANE

Nshablock namba adi nimechoka sasa
Naomba ushauri wenu Wana jf asantee sana

Kwenu wanajamii wezangu asantee sana kwa kufatilia kisa hiki

Aminaaaa
Nimependa hilo jibu lako mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom