Sijawahi kushehekea birthday na mpenzi wangu, nifanye nini kumsherehekea

Mkuu mshikilie uyo nina mshikaji wangu demu wake ana brithday mbili kwa mwaka na demu anahis mshikaj huwa anasahau ila hii life wakuu tutafika mbinguni tumechoka sana
 
Ndugu zangu tangu naanza uchumba na mke wangu adi Sasa tuna miaka 3 kwenye ndoa na mtoto mmoja,,sijawahi kusherekea nae siku yake ya kuzaliwa Kama ilivo apo juu.

Mara nyingi amekuwa akituunga mkono sisi yaani
MIMI
MDOGO WAKE (shemeji) &
MTOTO WETU
Ambao wote tumezaliwa mwezi,,tarehe moja yaani 12.6.,,,

Naomba ushauri wenu ndugu zangu nifanye surprise gani kwake? Adi Sasa sijamwambia chochote na wala hana mpango wowote wa sherehe yake ya kuzaliwa

Karibu mnipe la kufanya
Mpelekee moto
 
Wwka namba yake hapa
 
Back
Top Bottom