Yaani hawaamini kama wameshinda wanadhani bado wako kwenye kampeni
Ikumbukwe juma lililopita wapinzani walisema ccm haifurahii utendaji Magufuli naona wanawajibu
Ndg zangu wananchi naomba mnichagulie madiwani wote wa CCM na Mbunge wa CCM ili nifanye kazi ya kuleta maendeleo kumbukeni maendeleo hayana chama tuchague viongozi wazuri. Rais hajui ataongea na naniu
Mabula mchanga sana na hata siasa zake za kizamani hana mikakati, anawategemea sana vijana wa halmashauri ya jiji la mwanza akiwemo mkurugenzi wa jiji waibe na kuwabana wahindi wawachangie
Huyu mzee anajua anachokifanya aliacha maeneo mengi na akimaliza mikoa ambayo ni bg five kwake anarudi mikoa yote kwenye majimbo ambayo aliyawrka kiporo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.