bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,977
Mkutano wa kampeni za kugombea ubunge jimbo la Nyamagana kwa tiketi ya CCM Stanslaus Mabula unaendelea sasa hv katika viwanja vya s/m Nyamalango.
Mahudhurio ni hafifu mno,mkutano umeanza saa 8 na mpaka sasa hivi nyomi ndio hii hapa.Utafikiri mkutano wa mwenyekiti wa mtaa vile.
Mahudhurio ni hafifu mno,mkutano umeanza saa 8 na mpaka sasa hivi nyomi ndio hii hapa.Utafikiri mkutano wa mwenyekiti wa mtaa vile.