mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,092
Hata mm namkubali kupita maelezo, umebaki wewe.Unamkubali ww tu ngeke weee
Hata mm namkubali kupita maelezo, umebaki wewe.Unamkubali ww tu ngeke weee
We Jinga siwezi kujibu hoja na mjingaAcha matusi jibu hoja
LOWASA ALIKIMBIA NINI KARATU:
Kwa nini Lowasa hakuweza fanya mkutano karatu licha ya maandalizi yake kufanywa?kwanini aliishia Mto wa mbu wakat pale na karatu kwa chopa ni dk 5 tu?tatizo ni nini??
Akili zenu zimeganda nyieHata mm namkubali kupita maelezo, umebaki wewe.
El anadunda tu f@k nyieUgonjwa nao unamsumbua sana, alivyomsikia Slaa.
Ahadi za uongo lazima uongope dakika mia mbiliJembe limeingia kwa mbwembwe na kuunguruma kwa dakika 75
Kama Geita ilijirudia tena
Watu wa karatu nyeupe wanaiita nyeupe na nyeusi huiita nyeusi. Mwizi ni mwizi na msafi ni msafi. Wale jamaa sio wanafiki na uzuri wake lowasa wanamjua. Hawadanganyiki
Hali ilikua hiv aliwahi chooni
LOWASA ALIKIMBIA NINI KARATU:
Kwa nini Lowasa hakuweza fanya mkutano karatu licha ya maandalizi yake kufanywa?kwanini aliishia Mto wa mbu wakat pale na karatu kwa chopa ni dk 5 tu?tatizo ni nini??