Hili linadhihirulishwa na majiji karibu yote kuongozwa na upinzani. Kasoro ni mwanza tu, upinzani mwaka huu wamepoteza moja la Mwanza wakaaongeza mawili yaani Tanga na Dar.
Upinzani wasirudie ujinga wa kusimamisha Mgombea Urais anaetuhumiwa kwa Ufisadi
Hili linadhihirulishwa na majiji karibu yote kuongozwa na upinzani. Kasoro ni mwanza tu, upinzani mwaka huu wamepoteza moja la Mwanza wakaaongeza mawili yaani Tanga na Dar.
haya ndio maneno sasa, hayo mengine ni propaganda.Siku katiba itakapobadilishwa na kuwa na tume huru ya uchaguzi CCM itakufa kabisa!!!!!
ccm huwa awashindi wanachofanya ni kuiba kura hasa kule ambapo awana uwezo wa kulinda kura ndio maana mikoa ya watu wenye uwezo wa kulinda kura hawachomoi
Sioni upinzani wa kusimama 2020 au miaka ya hivi karibuni. Hasa kama tutaendelea kushikilia vitu visivyo vya msingi.
Magu akikaza miaka 5 hii Upinzania utafufuka miaka 10 ya rais ajaye na hiyo 2035 au 2045
Upinzani wasirudie ujinga wa kusimamisha Mgombea Urais anaetuhumiwa kwa Ufisadi