Ben maneno yako ni ya msingi sana hasa kwa watu wanaopigania haki za wanyonge kama kamanda mawazo, yote uliyoyaeleza ni ya kweli nimemfahamu sana na nimejifunza mengi kwake.Naamini ipo siku yote yatakwisha
hana kumbukumbu huyo ndo maana anakuja na majibu mepesi kwa maswali magumu, wakati mwingine najiuliza jf kuna watu ambao hawana falsafa yetu ya great thinkers yaani yapo yapo tu
RIP kamanda mawazo kama hukuwatendea jambo baya basi naamini damu yako itakuwa juu yao na hata kama kuna baya hukumu hiyo haikuwa sahihi.hofu yangu sijui kama waliofanya hivyo watakamatwa hatukona hivyo kwa kina kiwia na machemli mh sijui
mtoa mada nakuunga mkono japo umeandika stori ndeefu you could summarize it into simple statements. maoni yangu idara ya ukaguzi wa shule iboreshwe wapewe vitendea kazi na serikali kupitia WEMU wawape wakaguzi wakuu stahili waliyowaahidi siyo blabla tu
Nafikiri hujui falsafa za jeshi ndo maana unasema wale ni sisimizi.Pia nafikiri rais wetu angemaliza kwanza matatizo ya ndani ndipo aangalie ya wenzetu
Kwa mtu makini nina imani anatakiwa kuzungumza akiwa amefanya analysis ya kutosha ndo maana jukwaa hili linaitwa forum of GT, nikushauri tu ndugu unapopost kitu humu jiridhishe kwanza kwa kufanya analysis ya kutosha si kuandika ili uonekane unajaza post au na wewe huwa unatupia post.Kumbuka...
Wana jf
Katika miaka ya hivi karibuni jeshi la polisi lilianzisha dhana hizi kwa lengo la kuwashirikisha wananchi katika suala la ulinzi na kwa kiasi kikubwa jeshi hili limefanikiwa kutekeleza majukumu mengi kwa kushirikiana na wananchi kupitia mipango hii.
Lakini kadri siku zinavyokwenda naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.