Mwanzo wa mwisho wa dhana ya polisi jamii na ulinzi shirikishi

masumbwe

Senior Member
Oct 17, 2012
116
18
Wana jf
Katika miaka ya hivi karibuni jeshi la polisi lilianzisha dhana hizi kwa lengo la kuwashirikisha wananchi katika suala la ulinzi na kwa kiasi kikubwa jeshi hili limefanikiwa kutekeleza majukumu mengi kwa kushirikiana na wananchi kupitia mipango hii.

Lakini kadri siku zinavyokwenda naona dhahiri kuwa huko mbele ushirikiano uliokuwa unafanywa na raia kwa jeshi la polisi utakuwa mgumu sana na hasa kutokana na kuzorota kwa mahusiano kati ya pande hizi mbili kwa baadhi ya maeneo,kwa hakika jukumu la kusaidiana katika kufanikisha ulinzi shirikishi na polisi jamii ni la muhimu.
 
Hakuna tena kuwapa polisi ushirikiano tukiwakamata mtaani ni kuwachinja kama kuku ili wawe na heshima
 
hivi ushirikiano wanini wakati wao ndio kila kitu, ila serikali na police kwa ujumla hawaaangalii implication ya haya mambo kwa ukaribu wake, jitu zima linakurupuka tu eti "…Nasema wapigwe tu, maana tumechoka sasa" wamechoka nini wakati wao ndio wanasababisha tuishi maisha duni....
 
Back
Top Bottom