Ushuhuda: Namna CCM inavyofanya ugaidi nchini

Ushuhuda: Namna CCM inavyofanya ugaidi nchini

Kwa hiyo sasa hivi anashirikiana na Lwakatare au?
 
Kifo cha Nyerere ndo kilikuwa kifo cha ccm, wajanja wachache ndo tulielewa hilo. Wajinga wengi hata leo hawajaelewa kinachoendelea ndani ya jeneza la ccm. Mtaelewa tu siku ikifika.
Nani kakudanganya unajaribu kupima kina cha maji kwa miguu miwili ee.
 
Kama hujui kama nyie ni wauaji henry kileo yuko wapi?
Kwa nini Rais anasita kuunda tume huru ya kimahakama kuchunguza matukio hayo ya mauaji?

Unasemaje kuhusu hii video?
 
Last edited by a moderator:
kweli maandiko yametimia,kaka hongera kwa ujasiri wa kuwa muwazi ninaamini wapo wengi wanaojua siri nyingi hivyo umefungua njia na wengine watasem ata ww usiyoyajua.ila ata wakikuua kama hao wakina mshana ila ww ndio utakuwa umekufa kishujaa kuliko wao kwa kutoa siri.na uu ni mwanzo tu kwani ata ndani ya TISS wapo wengi ambao hawapendi jinsi ccm inavyofanya na ndio maana ata wanawapa chadema taarifa za siri nyingi.mimi ni jasiri ila ww umenifuraisha kwa kuwa jasiri zaidi.jitaidi waskupate kwa njia ya mawassiliano au wanaweza kukutegeshea mwanamke,kuwa makini na uskae eneo moja kwa muda mrefu,kama wamekufundisha mambo ya usalama nawe pambana adi mwisho kamanda
 
porojo tu hizi, eti china, watz kwa kupotoshana hatujambo, yaani huyu bwana kiapo chake kimeunganisha matukio tu ambayo anayasoma kwenye magazeti, bure kabisa
ni lazima useme hivyo unafikiri utasemaje sasa mkuu???? Sababu ccm hata ukweli ambao upo wazi kabisa huwa mnatafuta njia za kuupotosha tena kwa nguvu nyingi sana.
 
View attachment 99210 hata hawa vijana walitekwa na kundi la green guard katika uchaguzi mdogo serengeti kata ya manchira na kufaniwa vituko sana inasikitisha sana
 
Dr. Slaa alishawahi kusema CCM wameingiza Silaha nchini lakini walikanusha na kusema watamchukulia hatua kwa kauli yake hiyo kama hatathibitisha lakini upepo ukapita, kwa andiko hili ni wazi kabisa hawa jamaa (CCM) wanaingiza Silaha humu nchini kwa ajili ya kuangamiza wananchi wanaowaongoza.
 
good good

me naona ni unafiki tu mwngne aktoka chadema atasema nae alkuwa akitumiwa, jaman me sina chama na hiyo kazi ya kutumiwa naitaka naombeni kama kweli hiyo kazi ipo basi CCM nchukueni mie ntakuwa mtiifu kwa chama cha mapinduzi nizidi kuwaumiza wapinzani, na ile kauli mbiu ushindi lazima itimie
 
PG1.JPG
PG2.JPG

PG3.JPG
 
He, he, he! Ni kweli au macho yangu yamenidanganya? Kama ni kseli, basi, Mungu amechoshwa na udhalimu. Sijui wahusika wa uovu huu watakuwa na lipi la kujitetea. Na huyu Laurent maisha yake vipi, hatakuwa ameyaweka rehani?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Bwana koplo inaonyesha ni jinsi gani kichwa chako kilivyo kitupu, mtu akiamua kutoa yake ya moyoni huwezi kumfundisha wakati,mahali,stuation gani imupelekee kusema kinachomkera, haidhuru labda hali hiyo itamupekea kwenye umauti au la, kaona haki inaminywa waziwazi iweje aendelee kukaa kimya na roho yake inamusuta mbele za Mwenyezi Mungu na mbele ya haki.Wacha mtu huyu aseme mwenyezi Mungu ndo muumba wake anajua atakavyomulinda dhidi ya dhuruma ya watu na viongozi dharimu ndani ya CCM.

Haleluya!!!!

Huyu kama ni kweli amekosa amani ndiyo maana ameamua kutubu ili kama ni kufa afe ila aende mbinguni. Biblia inasema katika Ufunuo 'Heri wafu wafao katika Bwana wapate kupumzika baada ya taabu nyingi'. Mungu ni mwaminifu atamlinda, na kama sivyo kama katubu kweli ana uhakika wa kuiona mbingu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mungu anaipenda Tanzania na watanzania, hatatuacha yatima hata tuangamie, lkn atatokeza njia ya ajabu na kutupa kupita kama waisraeli walivyopita katikati ya bahari ya shamu wala hawakuzama bali wamisri na farao wakaangamizwa katika bahari ya shamu
 
Hizi damu hazimwagiki bure. Yatajulikana yote kama sii hapa duniani, ni mbinguni si walisema watatoa ushaidi mbinguni?
 
Kweli CCM inazidi kuumbuka. Wengi tu watajitokeza kuwaanika, maana wengine nafsi zinawahukumu.

Na bado ni mapemaa, ikifika 2014, mbinu zote haramu za CCM zitakuwa zimewekwa hadharani...

Tulianza na Mungu, Tuko na Mungu na Tutamaliza na Mungu Amina
 
Tanzania kuna vita ni kwamba tu hazitangazwi waziwazi. Usanii huu wa viaongozi wa ccm utatumaliza damu za ndugu zetu. Inasikitisha sana.
 
Ni kweli, CCM wana uwezo mkubwa wa kuanda na kutekeleza hayo yote, ni sehemu ya mikakati yao. Ila naomba kuuliza, ni kwa nini mumechagua kuiamini taarifa hii kirahisi?
 
Back
Top Bottom