MWANA WA UFALME
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 578
- 144
- Thread starter
- #21
Magamba washajichokea
Pinda alisema wao wameshachoka sasa, kwahiyo badala ya kupumzika wameamua kupiga. Hivi mtu ukichoka si unaamua kulala, kwanini uanze kupiga watu eti kwa sababu umechoka.