Recent content by Masterproud

  1. M

    Je, ni kweli mji wa Mecca upo katikati ya dunia?

    Huyo jamaa ameuliza swali la msingi sn. hoja hujibiwa kwa hoja sio kejeli wala matusi. Tunasema Dodoma ni katikati ya Tz Je hapo hoja ya Uduara wa dunia haupo? Nikueleze tu Hata kwenye hesabu huwa tunatafuta eneo / mzingo wa duara. kwa hiyo ukichukua eneo la ukubwa mzingo wa dunia, ukagawanya...
  2. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Asante sana Kiongozi kwa elimu kubwa hii ya ujasiriamali. binafsi ninapenda kuwa mmoja wa watu wanaohitaji kushiriki kwenye semina na kupata mafunzo juu ya hii biashara (Forex Trading). Sijui kama unaweza chukua hii post / request kuwa kama official au nitaomba unipe mwongozo wa namna ya...
  3. M

    Msaada: External HD inaandika Format kila nikiiweka kwenye PC

    Habari ya saa hizi wana JF. Samahani naombeni msaada, Eternal Hard Disk yangu (Transcend 500 GB) Inaandika Format kila nikiichomeka kwenye PC. ndani ina data zangu nyingi sana muhimu. Nimejaribu kuiweka kwenye computer mbalimbali bado kila nikiiweka kabla ya kufunguka inaleta msg kuwa natakiwa...
  4. M

    Tundu Lissu afikishwa mahakamani, Mawakili wa Jamhuri waomba wakili wa Lissu awe shahidi wa Jamhuri

    Sasa mbona unajikanyaga mwenyewe? Unadiriki Kumwita Mwanasheria bora Afrika Mashariki halafu unajikana unaita mwanasheria uchwara. au Unajaribu kushawishi watu kuukana ukweli ambao hata ww unaoufahamu?
  5. M

    Kilio mshahara wa mwezi June kwa watumishi wa Umma

    Nadhani waliopata mishahara ni watumishi wa Halmashauri. mimi nipo kwa katibu katibu mkuu nimecheki bado ila nimeangalia kwa wife wamemuwekea. pia nilipanda daraja la mshahara mwezi april mey nikapata salary mpya. hapa nahisi joto limepanda maana hiyo hela nimeshaipigia mahesabu
  6. M

    Namna ya kupata copy history toka kwenye Canon Ir 2202 Copier

    Habari yenu ndg wa jukwaa hili. Jamani anombeni sn msaada kwa wenye ufahamu juu ya namna ya kupata history ya kazi zote zilizofanywa ktk photocopy mashine. Yaani kujua idadi ya copy pages and printings kwa siku. Natumia canon Ir 2202. Pia ninamshine nyingine aina ya Hp deskjet na Hp 127. Msaada...
  7. M

    Natengeneza website na systembure kama unayo ngo, Shule, Vikundi vyote visivyo vya kibiashara

    Me ningeenda unitengenezee Blog. tayari nilianza ila sielewi sana issue za domain nk. Sasa nifanyeje?
  8. M

    Fursa ya kutengeneza had 1 mil kwa mwezi

    Hiyo issue hata Mwanasheria anakuwa mmachinga.
  9. M

    Kuanzisha huduma ya Tigopesa

    Ili uweze kupata Line ya uwakala Tigo Pesa, unatakiwa uwe na TIN Number, Leseni ya Biashara na Kitamburisho chako chochote Mf. Voter's ID. Kisha uwe na kiwango chochote cha pesa ya kuanzia (Float).
  10. M

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

    Kiukweli inakera bro..ila usiache kabisa kwenda kupiga kura. Kura yako inathamani sn. Mimi nipo safarini nakwenda Mkoani nilikojiandikishia. Piga kura tuondoe udharimu huo pamoja
  11. M

    Ukomo wa Rais na Mawaziri kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Tanzania

    Mawaziri wote ni wabunge, na bunge limeshavunjwa. je uhalali wao wa uwaziri unakaaje?
  12. M

    Hotuba ya Lowassa yavuja

    Hivi hiyo nayo ni hoja, siasa au kujionesha mbele ya wastaarabu kuwa wewe hukupata malezi ya wazazi? mbona hata mchokoraa wengine wananidhamu?
Back
Top Bottom