Hotuba ya Lowassa yavuja

Hotuba ya Lowassa yavuja

Kuna watu sio timamu hata kidogo yan...cjui ukisoma hujijutii ulichoandka
 
Wakati wengine wanapanga mikakati ya kuongea na watz (LOwasa) weninge wanapanga kwenda kupiga ng'oma za kienyeji (Magufuli)
 
Wandugu, nimepata kipande kikubwa cha hotuba ya Lowassa ya kufungia Kampeni, kuna mambo mapya meengi saana atayaongea, ambayo nina uhakika yatamuongezeau kura nyiiingi saaana zilizokua zimebaki CCM.

Kwa ufupi kati ya hayo mambo ni yafuatayo;

1. Kulipa madeni yote ya ndani, kuanzia kwa watu binafsi, makampuni ya ndani na watumishi wa umma, wanoidai serikali, wakiwemo na wafanyakazi wa iliyokua jumuiya ya Africa Mashariki, (wale wazee), pia kuna watu wanaidai serikali kutokana na kuishinda serikali kwenye kesi mahakamani lakini hawajalipwa na serikali haina mpango wa kuwalipa.

Hatua hiyo, licha ya kwamba itamuongezea kura, itasaidia saana kunyanyua uchumi wa watanzania wengi.

2. Lowassa, anaahidi kuwalipa fidia (kuwarudishia fedha zao) wale wote walioathirika na upatu wa DECI, walipanda lakini hawakuvuna. Ikumbukwe kwamba fedha zao zilikamatwa na serikali ikazichukua, viongozi wao wakafungwa lakini serikali haijawarudishia fedha waathirika na wala haijasema imeweka wapi zile fedha ambazo zinakadiriwa kuwa zaidi ya Billioni 29.

3. Pia anawapa moyo na kuwaahidi watumishi wa umma, kwamba ajira zao katika utumishi wa Umma zitaendelea kuwa vile vile, mathalani kwa mfano wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu, wakurugenzi wa halimashauri, wakurugenzi wa idara mbali mbali. Vyeo vyao vitaendelea kuwa kama kawaida, kama kubadirishwa itakua ni sababu yabutendaji na sio uhusiano wao na vyama.

Na mengine mengi subirini wenyewe kuisikiliza hotuba.

Nahisi hotuba ya hitimisho itamuongezea kura nyiingi saana Lowassa.

ataeleza kiunagaubaga jinsi alivyomlala mama yako
 
Atatoa wapi hela kulipa deni lote hilo
Atupe scheme nzima ya mapato na kiasi sio porojo porojo kwa wananchi.
Siku izi watu wanajielewa na huo ni uong dhahiri

kuna mtu mmoja kila anakoenda anadai atajenga viwanda lakini hasemi hizo pesa zitatoka wapi,tujiandae kuchangishwa michango wa kutimiza ahadi hizo,ccm bye bye.
 
Hiyo atakuwa ameisoma siku tano kwa vipande vipande vya dakika tano tano na kisha itaunganishwa
Haitakuwa Live program,watakuwa wameirekodi. Kila baada 1/4 hr ataonekana mavazi na make up tofauti.
 
ataeleza kiunagaubaga jinsi alivyomlala mama yako

Hivi hiyo nayo ni hoja, siasa au kujionesha mbele ya wastaarabu kuwa wewe hukupata malezi ya wazazi? mbona hata mchokoraa wengine wananidhamu?
 
Hiyo ni ahadi ya ccm ya miaka yote iliyopita. Asituambie atalipa aseme atapata wapi hizo pesa, na wakati akiwa waziri mkuu kama mtendaji mkuu wa serikali kilimshinda nini kulipa madeni hayo?

Back
Top Bottom