Recent content by masopano

  1. masopano

    HESLB mbona hawaeleweki sasa

    Mlikataa elimu bure!mkachagua elimu ya mkopo.
  2. masopano

    Division three [25] ya shule ya kata VS division one [8-17] Feza zikikutana chuoni

    Mwongo kabisa!wengi wa shule za kata kingereza shida !huwa wanatumia nguvu kubwa kukariri! Wengi wao huwa kwenye kozi za sanaa.
  3. masopano

    Yaliyojiri kutoka mahakamani kwenye kusikilizwa rufaa ya dhamana ya Mbunge Lema, akubaliwa ombi lake

    Maombi ya rufaa nje ya muda s.14 of limitation Act.na sio dhamana !
  4. masopano

    Kwanini serikali wasiwape pikipiki vijana wa Dodoma wanawapa wa Arusha waliowakataa?

    Huo ni mkopo kutoka kwa mfanyabuashara mmoja=watajuwa wanarejesha shs 7000 kwasiku kwa mwaka mzima then pikipiki inakuwa yako!Hamna cha bure hapo.
  5. masopano

    Zitto umewaponza Machali na Mkosamali

    Mdogo wake mkosamali ndio yupo Act na aligombea kupitia chama cha Act na akagawa kura mpaka kaka yake akakosa ubunge na kwenda kwa mgombea wa CCM.Felix mkosamali bado yupo NCCR Mageuzi katulia na sasa anaongeza Elimu.
  6. masopano

    Nabaki na Ukatoliki wangu. Mchungaji ameniogopesha

    Hapo kunamahusiano ya mda mrefu tuu!sema unaomba ushauri wa kumtema na sio kingine.
  7. masopano

    Cheki mabango ya matangazo ya makanisa ya Nigeria.

    Haaah!who stolen my wedding gown?
  8. masopano

    Akaunti za watumishi kutuna mwezi huu, na malimbikizo yote kulipwa??

    Endeleeni kuisoma namba!tumipenda wenyeweee!chaguo letu wenyeweeee!
  9. masopano

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wacha tuongoze ligi leo
  10. masopano

    Hivi zile 'couple' za vyuoni huwa zinaishia wapi?

    Baada ya kumaliza mtihani wa semister ya mwisho
  11. masopano

    Mwenye Namba ya huyu Dada anisaidie.

    Mimi ninayo!njoo tiptop ununue dompo ndipo nikupe.
  12. masopano

    Bodi ya mikopo kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wenye uhitaji waliokosa kwa mwaka 2016/2017

    Mlikataa Elimu bure mkachagua Elimu ya kukopeshwa !wacha muisome namba.
  13. masopano

    Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema na Diwani Ally Bananga Wanusurika Kutekwa

    Walikuwa wanatoka dodoma au kwa mganga ?
Back
Top Bottom