Cheki mabango ya matangazo ya makanisa ya Nigeria.

samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,386
5,954
funny-church-posters-3.jpg

funny-church-posters-4.jpg

church-poster21.jpg

chrt.jpg

upload_2016-11-21_19-26-18.jpeg

vllkyt4lcqgauklqb.e628d41f.jpg

church+poster+4.jpg

nqvymg3hpvifnhtq6dqo.jpg
 
Wajinga ndiyo waliwao,huku kwetu hakuna aliyejuu ya nguzo za dini na imani.Ukileta mambo ya ajabu bakora tuu
 
Ila jamaa wamegundua njia ya kupiga hela. Maana hata hawa manabii wa kwetu hapa wanaishi 'maisha kama malaika' in JPM voice.
 
Katika nyakati hizi za mahangaiko na tabu....ni rahisi sana kuangukia kwenye mikono ya manabii wa uongo....kwani tunahitaji faraja kwa gharama yoyote ile....
 
Ila jamaa wamegundua njia ya kupiga hela. Maana hata hawa manabii wa kwetu hapa wanaishi 'maisha kama malaika' in JPM voice.
cc mrs Lwakatare, na wenzie ambao majina nimeshahau ila namfahamu mzee wa upako anayegawa magari kama njugu. Sijapata bado. mama Lwakatare mme wako aliacha ndugu aliokuwa anawahudumia umewatelekeza lakini bado unasema unamtukuza Mungu sijui yupi. Unavaa nguo za millioni kila siku wakati kuna watoto yatima tena ndugu wa mme wako wanakosa ada ya Chuo kikuu wanahangaika????
 
Tangazo la kanisani kama tangazo la muvi ya action

Operation point and kill: every witch must die.
Wahusika wamevaa nguo za kijeshi
 
Back
Top Bottom