Wanasema hakuna mkopo wa miezi mitatu , mda WA chini ni miezi 36 sawa na 3years na mkopo wa chini ni milion 10 ambazo watakuwekea milion8 hzo mbili wanakwambia ni processing fee
Wengine tupo nyumba za Kota, zina mambo hizi nyumba ni balaaaa, kuna siku nkiwa nasali nikajikuta nasema ninavunja maagano yote na manuizi ktk chumba nacholala, weeeeeeeeee kuanzia hpo nkawa kila nkipanda kitandani ninakabwa, ninakwanguliwa na vitu km makucha yaan nkawa km ndio nmeyatibua
Sawa tuseme wamezaliwa miaka ya 1990 huko hvyo hawakuwafaham vizur viongozi wao, Ila Sasa wangekuta vitu walivyofanya katika utawala wao, mfano ambao hawakuzaliwa katika utawala wa Nyerere wameikuta legacy yake kuwa alituvusha katika kutumwa wa kutawaliwa na wazungu,
Pia Kwa Magufuli legacy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.