BoT ichunguzeni Benki ya NMB inawanyonya wakopaji

Ndio maana wananchi wanaiomba BoT ifanye uchunguzi wa kitaalamu wakishirikiana na ofisi ya BoT. Wapitie nyaraka za ukopeshaji.
Kwahiyo pesa ni uongo bhana wote tunakopa na kuitumia NMB atleast mngesema million 9 kwa 15 tungewaelewa. Mimi nna mkopo wa 3yrs wamenipa million 500 ila hawajanipa rejesho kubwa km hilo
 
Ukifanya top up ndipo utakutana na utapeli huu.
nazungumzia maelfu ya wananchi ambao hawasikiki.

Tusiwe wabinafsi, sio lazima jambo likukute wewe ndipo upaze sauti bali hata likimkuta mtanzania mwenzio tupaze sauti ili hatua zichukuliwe. wakopaji wanaumizwa na mikopo yenye RIBA isiyo eleweka!!!
 
Kama kuna Benki inayo wanyonya wakopaji basi Benki ya NMB inawakausha damu wananchi kisawasawa.

Inawezekanaje mtu anakopa milioni 9 analipa milioni 80 ?!!! Huu ni wiza wa mchana kweupe!!!!
Huu ni utapeli!!!!
Huu ni unyonyaji!!!!
Huu ni ukaushaji damu!!!!

Kisa mteja anashida ya kukopa basi ndio aadhibiwe kwa riba ya kukandamiza??

Wananchi tunaiomba BOT iichunguze hii Benki ya NMB, iangalie mikopo iliyotolewa kwa wateja na Riba wanazo watoza wakopaji je ni sahihi au sio sahihi.

NMB inawaumiza sana wakopaji, wizi mtupu.

Ndio maana tunauomba uongozi wa Benki Kuu (BoT) wakisaidiana na CAG wafanye uchunguzi wa kitaalamu kwenye taratibu za mikopo ya Banki hii ya NMB ili kuwanusuru Raia na Unyonyaji unao endelea.

Wananchi wanafahamu kuwa Bunge letu tukufu limeiagiza Serikali kupitia Wizara ya Fedha kufuatilia mikopo kausha damu kwenye taasisi zote za kifedha lkn tunaomba uchunguzi wa kina ufanywe kwa Benki hii ya NMB.
Sasa kama waziri mwenye dhamana mwenyewe anaulizwa maswali ya kiuelewa na spika bungeni kuhusu mikopo Kaushal Damu hanajiumauma tu, anaulizwa Je Kuna ukomo wa riba ni ngapi....?
Ni full kujiuma uma no majibu ...
 
Kama mikopo yao ingekua ina riba 100%

Na anachagua kulipa kwa miaka 8 hiko kiasi kinafika.
 
Kakopa 3m.. mfano riba asilimia 5.
Kwa mwezi 150,000/= hakulipa inakuwa 3,150,00/= riba 5% inakuwa 3,315,00/= hiyo ni miezi miwili inaitwa accumulative interest, riba inapanda pamoja na mkopo na riba nyingine. Mwaka mmoja tokea millioni 3 inakuwa karibia 5,150,000/= ikiendelea kukaa ni majanga.
Yaani badala ya 3m inazaa tu na riba juu hadi mill 20m × 5% riba na kuendelea.
Hivyo hivyo na kama kuna kesi deni inaendelea hadi inafika mill80.
Ili kulshinda unakipa principle loan na gharama za ushahidi za kwao za kuendesha kesi na mkopo. Labda around 11m. Kwa miaka 3. Ukikaa lelle mama utajuta. Mkopo wa Benki lipa killa mwezi ukipandisha mwezi juu ya mwezi utalia.
Ndio wengne hatukopi kienyeji mpe mwanasheria mzuri mkataba ujue vilivyo sio jamaa alisaini tu mara kurasa hii mara lile hadi majanga.. na wakimkuta mtu ana shida basi yeye atasainishwa hassa kama ana shida mno.
Mikopo ya Benki kama huijui bora usiende au nawe uwe mwekewa na ulipe vilivyo killa mwezi tarehe 28.. laa sivyo mill 3 inafika 80.
Kosa lao benki hawakuambii mapema kisheria mtu akishindwa miezi mitatu bass sitisha uza dhamana. Halafu huwezichukua mill 3 ukaweka dhama ya thamani ya mill 50. Hapana iwe mill 3 dhamana bajaj au kiwanja cha thamani ya mill 6.5. Sio zaidi .

Kisheria hawatakiwi na wewe hutakiwi kuweka dhamana kubwa mkopo mdogo.
Dhamana iwe mara mbili kwa thamani zaidi ya pesa unayo chukua.
 
Yes, walinipa 6yrs nikagoma nikaomba 3yrs ili riba iwe ndogo na ilikuwa kwaajili ya ujenzi. Unajua hii serikali ukijenga bila mkopo wananza kukufatilia pesa unatoa wapi, hivyo nikaona niombe mkopo.
Kwa hiyo ukaona utakonda,ukinipa dada yako hata laki mbili nikaonane na binamu Jack Daniel Kwa mazungumzo...uchoyo tu😁
 
Sasa kama waziri mwenye dhamana mwenyewe anaulizwa maswali ya kiuelewa na spika bungeni kuhusu mikopo Kaushal Damu hanajiumauma tu, anaulizwa Je Kuna ukomo wa riba ni ngapi....?
Ni full kujiuma uma no majibu ...
Tatizo la baadhi ya viongozi wetu hawashughulishwi na kero zinazo wasumbua wananchi wao.

Spika wetu nimemuona ni mtu makini sana. anazitambua kero za wananchi ndio maana alimwagiza waziri na Mamlaka zingine kuchunguza.
 
Kakopa 3m.. mfano riba asilimia 5.
Kwa mwezi 150,000/= hakulipa inakuwa 3,150,00/= riba 5% inakuwa 3,315,00/= hiyo ni miezi miwili inaitwa accumulative interest, riba inapanda pamoja na mkopo na riba nyingine. Mwaka mmoja tokea millioni 3 inakuwa karibia 5,150,000/= ikiendelea kukaa ni majanga.
Yaani badala ya 3m inazaa tu na riba juu hadi mill 20m × 5% riba na kuendelea.
Hivyo hivyo na kama kuna kesi deni inaendelea hadi inafika mill80.
Ili kulshinda unakipa principle loan na gharama za ushahidi za kwao za kuendesha kesi na mkopo. Labda around 11m. Kwa miaka 3. Ukikaa lelle mama utajuta. Mkopo wa Benki lipa killa mwezi ukipandisha mwezi juu ya mwezi utalia.
Ndio wengne hatukopi kienyeji mpe mwanasheria mzuri mkataba ujue vilivyo sio jamaa alisaini tu mara kurasa hii mara lile hadi majanga.. na wakimkuta mtu ana shida basi yeye atasainishwa hassa kama ana shida mno.
Mikopo ya Benki kama huijui bora usiende au nawe uwe mwekewa na ulipe vilivyo killa mwezi tarehe 28.. laa sivyo mill 3 inafika 80.
Kosa lao benki hawakuambii mapema kisheria mtu akishindwa miezi mitatu bass sitisha uza dhamana. Halafu huwezichukua mill 3 ukaweka dhama ya thamani ya mill 50. Hapana iwe mill 3 dhamana bajaj au kiwanja cha thamani ya mill 6.5. Sio zaidi .

Kisheria hawatakiwi na wewe hutakiwi kuweka dhamana kubwa mkopo mdogo.
Dhamana iwe mara mbili kwa thamani zaidi ya pesa unayo chukua.
Wanasema hakuna mkopo wa miezi mitatu , mda WA chini ni miezi 36 sawa na 3years na mkopo wa chini ni milion 10 ambazo watakuwekea milion8 hzo mbili wanakwambia ni processing fee
 
Ulikopa kiasi gani ili urudishe lini na kwa interest gani na umechelewesha muda gani ?

By the way ni hao BOT ndio wana-set key interest rate (CBR) na mambo mengine mengi..., hii naweza kusema kwamba ni shamba la nyani na wewe mwizi wa mahindi umeshikwa na nyani unasema hajakutendea haki kwahio kesi unaipeleka kwa ngedere ili akutetee
 
BoT akishirikiana na CAG, naamini CAG akifanya uchunguzi wa kitaalamu atabaini wizi/utapeli na unyonyaji wa kiwango cha juu.
 
Back
Top Bottom