Recent content by Masimbwe

  1. Masimbwe

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Hai Kilimanjaro nije njombe mji Idara ya msingi
  2. Masimbwe

    JamiiForums Tanzania Moses Machali: Ni fikra chakavu za upinzani kulaani kikao cha CCM kufanyika Ikulu

    Wanasiasa siyo watu wa kuwaamini
  3. Masimbwe

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Hai Idara ya msingi nije tanga jiji
  4. Masimbwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amini usiamini chuma kinaweza kuelea juu ya maji

    Hakika mungu anaweza kufanya njia pasipo na njia
  5. Masimbwe

    JamiiForums Tanzania Kumradhi Mh. Lema, Mlango uloingilia tuliuacha wazi na sasa waweza toka tu

    Tutasikia mengi mwaka huu
  6. Masimbwe

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu Idara ya msingi halmashauri ya Hai anatafuta Mwalimu wa kubadilishana kutoka manispaa ya morogoro piga namba 0767287256
  7. Masimbwe

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo halmashauri ya Hai nije Tanga jiji au muheza ,Idara ya msingi aliyetayari ani pm
  8. Masimbwe

    JamiiForums Tanzania Kurudishwa kwenye Government Payroll

    Updates:Nilifanikiwa kupitishiwa barua ya kuomba kurudishwa kwenye payroll na Afisa utumishi tatizo hapa kwa katibu mkuu utumishi wanazingua mbaya ,natumaini hapa jamvini kuna watu wana network na watu pale naombeni msaada
  9. Masimbwe

    JamiiForums Tanzania Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Watu kama hawa wafungwe tu
  10. Masimbwe

    JamiiForums Tanzania Kurudishwa kwenye Government Payroll

    Mkuu nilivyopangiwa niliingizwa moja kwa moja kwenye system na kupewa check no.ingawa sikuripoti
  11. Masimbwe

    JamiiForums Tanzania Kurudishwa kwenye Government Payroll

    Unaweza kupata nafasi lakini tatizo linakuja wanapotuma jina hazina kwa ajili ya malipo system inaonyesha mtu huyo alishaajiriwa
  12. Masimbwe

    JamiiForums Tanzania Kurudishwa kwenye Government Payroll

    Ndugu wanabodi, niliajiriwa mwaka 2010 Halmashauri fulani lakini sikwenda ,mwaka huu nikaomba ajira nikapata tatizo limetokea kwenye system inaonekana tayari nimeshaajiriwa. Wakuu naomba msaada wa mawazo yenu na yeyote aliye tayari kunisaidia.
  13. Masimbwe

    JamiiForums Tanzania Mimba ya wiki3

    tumia hii misopotrol
  14. Masimbwe

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu

    Wakuu heshima mbele ,mimi ni mwalimu wa grade A naomba directioni jinsi ya kuingia serikalini au kama kuna mtu yeyote anaweza kunisaidia hapo wizarani ani pm,thank you in advance
  15. Masimbwe

    JamiiForums Tanzania Kumbe Jk Bado Mtu wa Watu!

    Hiv ww una elimu gani?
Back
Top Bottom